Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

Kuna utafiti nilikuwa nafanya kwenye sekta ya gas kitu kilichonifanya nifike kule Msimbati- Mtwara kwenye visima vya gas. Naplan kurudi tena huko this December to see if anything has really happened 5yrs later.
Uliishia wapi na utafiti uliofanya
 
Wasomi uchwara hao . et vita ya ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ na ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ ndo imeleta haya. Mafuta na mbolea vimepanda bei toka mwaka Jana hata harufu ya vita haijaanza kusikika .
Watu wanapotoa elimu tuwe tunawasikiliza
 
Ngoja Zembwela arudi toka ziarani atatoa ushauri, anakazi nyingi na yeye ndio tunamtegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ