mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
DuhKila kitu kitapanda!! Kwa kisingizio cha vita ya ukraine! Baba mwenye nyumba naye anapandisha kodi ya nyumba eti kisa ni vita ya ukraine!
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhKila kitu kitapanda!! Kwa kisingizio cha vita ya ukraine! Baba mwenye nyumba naye anapandisha kodi ya nyumba eti kisa ni vita ya ukraine!
Hii ndio TanzaniaSidhani kama mtu anahitaji kuwa mtaalam wa mafuta na mbolea ili aweze kuishauri serikali cha kufanya!! Kila mtu anajua kuna msululu wa kodi lukuki nyuma ya mafuta!! Inahitaji utashi wa kisiasa tu na ufahamu wa kiuchumi kujua kuwa ili kupunguza beoi inabidi kupunguza kodi!!
Hujasema ulienda kutafiti nini na mwishowe ukashauri nini hivyo ni vigumu kukuelewaKuna utafiti nilikuwa nafanya kwenye sekta ya gas kitu kilichonifanya nifike kule Msimbati- Mtwara kwenye visima vya gas. Naplan kurudi tena huko this December to see if anything has really happened 5yrs later...
Hilo ndilo namimi nilitaka kujua, alienda kutafiti nini.Hujasema ulienda kutafiti nini na mwishowe ukashauri nini hivyo ni vigumu kukuelewa
Bandiko langu halikuwa la kulalamika bali kueleza hali ya maisha ya wananchi wengi kutokana na kungezeka kwa bei ya mafuta ya nishati na kupandishwa mishahara kwa 23.3%.Sasa ni vyema ukashauri badala ya kulalamika kama hawa walivyofanya.
Hapa umechambua vizuri sanaBandiko langu halikuwa la kulalamika bali kueleza hali ya maisha ya wananchi wengi kutokana na kungezeka kwa bei ya mafuta ya nishati na kupandishwa mishahara kwa 23.3%.
Mathalani ongezeko la TZS 1 kwa lita inaongeza gharama za usafirishaji kwa 10%. Matokeo yake bidhaa na mazao yasafishwayo bei zake zitaongezeka kwa 15% (10% gharama ya usafiri na 5% faida ya msafirishaji na mwuzaji) au zaidi.
Pia kuongezeka mshahara kwa 23.3% kutaongeza bei za bidhaa, kwa sababu mahitaji yataongezeka wakati uzalishaji uko palepale. Kwa hesabu ya haraka bei za bidhaa au mazazao zitaongezeka kwa 1.5%, au zaidi, kulingana na aina sehemu ya uzalishaji/soko yake.
Mapendekezo yametolewa mengi, bungeni na hata kwenye mitandao ya kijamii. Kuhusu mafuta ya nishati Serikali itoe ruzuku au ipunguze kodi/tozo kwenye hayo mafuta. Na mishahara pia Serikali ipunguze PAYAE kusudi waajiri binafsi, na hata Serikali, wamudu kuwalipa wafanyakazi wake ili wasilazimike kuwapunguza.
Lakini walizungumzia mbolea, umeskia EU wamesema nini? Kuhusu mbolea, hawa jamaa walionya lakini.Sidhani kama mtu anahitaji kuwa mtaalam wa mafuta na mbolea ili aweze kuishauri serikali cha kufanya!! Kila mtu anajua kuna msululu wa kodi lukuki nyuma ya mafuta!! Inahitaji utashi wa kisiasa tu na ufahamu wa kiuchumi kujua kuwa ili kupunguza beoi inabidi kupunguza kodi!!
Unaionaje bei ya Leo.Bandiko langu halikuwa la kulalamika bali kueleza hali ya maisha ya wananchi wengi kutokana na kungezeka kwa bei ya mafuta ya nishati na kupandishwa mishahara kwa 23.3%.
Mathalani ongezeko la TZS 1 kwa lita inaongeza gharama za usafirishaji kwa 10%. Matokeo yake bidhaa na mazao yasafishwayo bei zake zitaongezeka kwa 15% (10% gharama ya usafiri na 5% faida ya msafirishaji na mwuzaji) au zaidi.
Pia kuongezeka mshahara kwa 23.3% kutaongeza bei za bidhaa, kwa sababu mahitaji yataongezeka wakati uzalishaji uko palepale. Kwa hesabu ya haraka bei za bidhaa au mazazao zitaongezeka kwa 1.5%, au zaidi, kulingana na aina sehemu ya uzalishaji/soko yake.
Mapendekezo yametolewa mengi, bungeni na hata kwenye mitandao ya kijamii. Kuhusu mafuta ya nishati Serikali itoe ruzuku au ipunguze kodi/tozo kwenye hayo mafuta. Na mishahara pia Serikali ipunguze PAYAE kusudi waajiri binafsi, na hata Serikali, wamudu kuwalipa wafanyakazi wake ili wasilazimike kuwapunguza.
😂😂😂wataalamu wa Tanzania ni majanga.Wataalamu au wachumia tumbo?
😄😄😄😄😄😄😄Wataalamu au wachumia tumbo?
Saivi itashukaNa itapanda zaidi
Hatari sn😄😄😄😄😄😄😄
Tarehe moja uliiona??Tunasubiri tarehe 1
Ni kweli unachoongea rafikiSidhani kama mtu anahitaji kuwa mtaalam wa mafuta na mbolea ili aweze kuishauri serikali cha kufanya!! Kila mtu anajua kuna msululu wa kodi lukuki nyuma ya mafuta!! Inahitaji utashi wa kisiasa tu na ufahamu wa kiuchumi kujua kuwa ili kupunguza beoi inabidi kupunguza kodi!!