Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

Sidhani kama mtu anahitaji kuwa mtaalam wa mafuta na mbolea ili aweze kuishauri serikali cha kufanya!! Kila mtu anajua kuna msululu wa kodi lukuki nyuma ya mafuta!! Inahitaji utashi wa kisiasa tu na ufahamu wa kiuchumi kujua kuwa ili kupunguza beoi inabidi kupunguza kodi!!
Hii ndio Tanzania
 
Kuna utafiti nilikuwa nafanya kwenye sekta ya gas kitu kilichonifanya nifike kule Msimbati- Mtwara kwenye visima vya gas. Naplan kurudi tena huko this December to see if anything has really happened 5yrs later...
Hujasema ulienda kutafiti nini na mwishowe ukashauri nini hivyo ni vigumu kukuelewa
 
Sasa ni vyema ukashauri badala ya kulalamika kama hawa walivyofanya.
Bandiko langu halikuwa la kulalamika bali kueleza hali ya maisha ya wananchi wengi kutokana na kungezeka kwa bei ya mafuta ya nishati na kupandishwa mishahara kwa 23.3%.

Mathalani ongezeko la TZS 1 kwa lita inaongeza gharama za usafirishaji kwa 10%. Matokeo yake bidhaa na mazao yasafishwayo bei zake zitaongezeka kwa 15% (10% gharama ya usafiri na 5% faida ya msafirishaji na mwuzaji) au zaidi.

Pia kuongezeka mshahara kwa 23.3% kutaongeza bei za bidhaa, kwa sababu mahitaji yataongezeka wakati uzalishaji uko palepale. Kwa hesabu ya haraka bei za bidhaa au mazazao zitaongezeka kwa 1.5%, au zaidi, kulingana na aina sehemu ya uzalishaji/soko yake.

Mapendekezo yametolewa mengi, bungeni na hata kwenye mitandao ya kijamii. Kuhusu mafuta ya nishati Serikali itoe ruzuku au ipunguze kodi/tozo kwenye hayo mafuta. Na mishahara pia Serikali ipunguze PAYAE kusudi waajiri binafsi, na hata Serikali, wamudu kuwalipa wafanyakazi wake ili wasilazimike kuwapunguza.
 
Hapa umechambua vizuri sana
 
Sidhani kama mtu anahitaji kuwa mtaalam wa mafuta na mbolea ili aweze kuishauri serikali cha kufanya!! Kila mtu anajua kuna msululu wa kodi lukuki nyuma ya mafuta!! Inahitaji utashi wa kisiasa tu na ufahamu wa kiuchumi kujua kuwa ili kupunguza beoi inabidi kupunguza kodi!!
Lakini walizungumzia mbolea, umeskia EU wamesema nini? Kuhusu mbolea, hawa jamaa walionya lakini.
 
Bandiko langu halikuwa la kulalamika bali kueleza hali ya maisha ya wananchi wengi kutokana na kungezeka kwa bei ya mafuta ya nishati na kupandishwa mishahara kwa 23.3%.

Mathalani ongezeko la TZS 1 kwa lita inaongeza gharama za usafirishaji kwa 10%. Matokeo yake bidhaa na mazao yasafishwayo bei zake zitaongezeka kwa 15% (10% gharama ya usafiri na 5% faida ya msafirishaji na mwuzaji) au zaidi.

Pia kuongezeka mshahara kwa 23.3% kutaongeza bei za bidhaa, kwa sababu mahitaji yataongezeka wakati uzalishaji uko palepale. Kwa hesabu ya haraka bei za bidhaa au mazazao zitaongezeka kwa 1.5%, au zaidi, kulingana na aina sehemu ya uzalishaji/soko yake.

Mapendekezo yametolewa mengi, bungeni na hata kwenye mitandao ya kijamii. Kuhusu mafuta ya nishati Serikali itoe ruzuku au ipunguze kodi/tozo kwenye hayo mafuta. Na mishahara pia Serikali ipunguze PAYAE kusudi waajiri binafsi, na hata Serikali, wamudu kuwalipa wafanyakazi wake ili wasilazimike kuwapunguza.
Unaionaje bei ya Leo.
 
Sidhani kama mtu anahitaji kuwa mtaalam wa mafuta na mbolea ili aweze kuishauri serikali cha kufanya!! Kila mtu anajua kuna msululu wa kodi lukuki nyuma ya mafuta!! Inahitaji utashi wa kisiasa tu na ufahamu wa kiuchumi kujua kuwa ili kupunguza beoi inabidi kupunguza kodi!!
Ni kweli unachoongea rafiki
 
Back
Top Bottom