Watalaamu, hii kabla au baada ya tukio?!

View attachment 2632375

Ukisema ni kabla uwe na sababu
Ukisema baada uwe na sababu
Hii ni kabla. Points ni zile zile, kama Wanasiasa kipindi cha kampeni;

1. Supportive government
2. Attention to the citizens
3. Protective government
4. Good bed infrastructure
5. Many humps/ pillows on the bed

NB. Mimi sio mzinzi, ila nimeona nichangie mada.
 
Hamnaga hiyo msaada ni kabla ya kugegedwa ukishagegedw huna jipya tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu huelekezwa njia wakati wa kwenda tu, kurudi ajijue mwenyewe🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…