Watalaamu wa masuala ya uwekazaji wa amana na mifuko ya serikali naomba mnijibu swali langu hili

Kwahiyo kama viongozi wa serikali wamewekeza UTT hakuna risks za kupigwa?
 
Unakumbuka kuna waziri mkubwa tu alienda kufungua Kaylinda na watu wakapigwa vizuri tu ?

Hakuna investment duniani ambayo ni risk free.

Na risk ya kwanza inapaswa kuwa watu walioko kwenye mifumo ya utawala.

Wakitaka pesa yoyote wanaipiga tu na hautakuwa na cha kuwafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…