Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

Hii collabo inawaacha hoi kobazi wakorofi
 
Hakuna mtu wa jihad anaogopa 🤣🤣🤣watu wanapigania ili wafe ...Kaangalie huko Houthis wala mirungu wanapeleka moto ..
 
Embu tupia picha ya wachunga Mbuzi wa Afghanistan, muone huyo Trump kama hajapagawa
 
Shobo dundo kwa watu wasio na time nawe… WAGALATIA wenzenu wanatemewa hadi mate huko.. 🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣

Wanajihadi wakiona hii duo huwa wanaota usiku ndoto za majini majini

🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…