Acha matusi na kumkufuru Mungu wewe Mungu alifanya maji kama hitaji la viumbe wote duniani. Kwa akili yako viumbe wote lazima wawe ccm?CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Nilimkaribisha mwashambwa akawaka hataki kadi ya milembe!Wale vijana walifaa wawe Dodoma hospitali ya Milembe
Sorry nimesahahau kukuquote ila tayariKwahiyo mwanangu ukachukua comment yangu ukaanzishia uzi kabisa 😀😀
Ni kawaida ya vichaa kuona wako timamu kiakili. Siku nyingine mfungeni kamba apelekwe kwa lazimaNilimkaribisha mwashambwa akawaka hataki kadi ya milembe!
Sasa hii inahusiana nini kwenye kupigania course?Naona umia wewe ..Mpaka haki ipatikane ,View attachment 3397857
Huyu wa kulia anamjua Ayatollah vizuri. Hana hamu naye