Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA
Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii.
Filamu ya Amazing Tanzania iliyomshirikisha Rais Samia na nyota wa China Jin Dong imechangia ongezeko la watalii kutoka China kwa asilimia 56.5 (kutoka 45,463 mwaka 2023 hadi 71,140 mwaka 2024).
Watalii kutoka India pia wameongezeka kwa asilimia 16.2, kutoka 54,558 hadi 63,391 mwaka 2024.
Haya mafanikio ya utekelezaji wa bajeti 2024/25 kwa Wizara ya Maliasili na Utalii.