Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

Ndio wanatuletea kirusi kipya cha Uingereza, hatarious sheet
Inasemekana Watanzania hawawezi kupata corona kwa mujibu wa serikali yenu. Kuanzia Mei mwaka uliopita, hakuna Mtz aliyepata corona japo Wakenya walio na corona na majirani zenu walio na corona huwa wanakuja kuwatembelea. Hata hawa wazungu baadhi yao lazima wawe na corona ila kwa sababu Watanzania ni watu speshieli walio umbwa na udongo soft kushinda watu wengine basi nyinyi hamuwezi kupata corona kwa hivyo tulia usiogope.
 
🀣 🀣 🀣 yes, ukiichukulia positively

Yaap ndiyo maana makampuni yanakimbizana kutafuta chanjo. Siyo kwamba wanataka watu wapone, bali wameona fursa.
 
Watu wanapenda uhuru na starehe. Mie sasa hivi nipo USA na maisha yanaendelea japo starehe ZOTE zimesimama. Hizo Hakuna. Watu wakijua wanawesa pata starehe Tz pasipo kizuizi, lazima waje KIBAO. Ila customer service mbovu in Tz na fees /tariffs kubwa za mbuga za wanyama ndio zitatuangusha in the long run.
 
Here i go again my own, going down the only road i ever known, like a drifter i was born to walk alone. I have made up my mind............
 
CCM kutoka kuwa chama cha ukombozi Afrika na chama cha mapinduzi ya umma Tanzania hadi kuwa chama cha propaganda.What a shame!
 
Kuna youtuber flani mbongo anafanya reactions [emoji23][emoji23]
Juzi karudi na kusema ilikha anaugua lkn sai ako vizuri karudi ila bado ana matatizo ya kupumua..
Ila siwezi kumuanika hapa ila kw uzuri hakusema corona direct
NAOMBA UNITUMIE VIDEO YAKE PRIVATE MESSEGA
 
Hayo ni maradhi yake. Hata hapo kenya mnaumwa, lakini hamkuja Tanzania.
Siwezi muanika hata msemeje, humu ndani kuna wasiojulikana huenda wakammfungia channel kijana mwenzangu anayejipambania kimaisha
 
Mimi naona wachungaji wa makanisa ya kizazi kipya wanavyomshukuru ndg presida kuwa free states from covid maana tunavyowafaham kutokana na hili janga eeh 😁😁!!
 
Siwezi muanika hata msemeje, humu ndani kuna wasiojulikana huenda wakammfungia channel kijana mwenzangu anayejipambania kimaisha

Korona haiogopwi, ila inakingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…