Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

Aisee!!Covid-19 ni sehemu ya fursa
Magufuli ana Mungu

Watanzania tulipokuwa tukiomba Mungu wengine walitucheka sasa ona Mungu hadhihakiwi

Zanzibar kuna watu matajiri toka waingie mwaka jana January hawajaachia vyumba ndio wanawaambia wenzie kimbieni corona huko mtakufa njooni free corona country

Arusha mahoteli kibao pia ina waters matajiri wakazi wa kudumu toka mwaka jana
 
Inasemekana Watanzania hawawezi kupata corona kwa mujibu wa serikali yenu. Kuanzia Mei mwaka uliopita, hakuna Mtz aliyepata corona japo Wakenya walio na corona na majirani zenu walio na corona huwa wanakuja kuwatembelea. Hata hawa wazungu baadhi yao lazima wawe na corona ila kwa sababu Watanzania ni watu speshieli walio umbwa na udongo soft kushinda watu wengine basi nyinyi hamuwezi kupata corona kwa hivyo tulia usiogope.
Wivu wa nyang'au povu kafulie ngotha zako
 
Magufuli ana Mungu

Watanzania tulipokuwa tukiomba Mungu wengine walitucheka sasa ona Mungu hadhihakiwi

Zanzibar kuna watu matajiri toka waingie mwaka jana January hawajaachia vyumba ndio wanawaambia wenzie kimbieni corona huko mtakufa njooni free corona country

Arusha mahoteli kibao pia ina waters matajiri wakazi wa kudumu toka mwaka jana
Umesema kweli tupu mkuu.
 
Watu wanapenda uhuru na starehe. Mie sasa hivi nipo USA na maisha yanaendelea japo starehe ZOTE zimesimama. Hizo Hakuna. Watu wakijua wanawesa pata starehe Tz pasipo kizuizi, lazima waje KIBAO. Ila customer service mbovu in Tz na fees /tariffs kubwa za mbuga za wanyama ndio zitatuangusha in the long run.
Mi Niko hapaa USA river maisha na starehe Kama kawaida huko USA kwako mizinguo
 
Watu wanahangaika bure tu dawa ya corona mpya ni Tango2+ limao2= kujifusha na kunywa juice yake
 
Kuna youtuber flani mbongo anafanya reactions [emoji23][emoji23]
Juzi karudi na kusema ilikha anaugua lkn sai ako vizuri karudi ila bado ana matatizo ya kupumua..
Ila siwezi kumuanika hapa ila kw uzuri hakusema corona direct
Andika kiswahili kinachoeleweka wewe!!... Sai ako vizuri ndio unataka kusema nini? 🤔
 
Watu wanahangaika bure tu dawa ya corona mpya ni Tango2+ limao2= kujifusha na kunywa juice yake
Mimi nimepanda "Umulavumba" kwenye bustani yangu na umestawi ile mbaya, Kikohozi na mafua vikijipendekea tu, nachuma jani moja na kutafuna au natengezea mchuzi wake. Corona iko huko huko walikoitengeneza.☺️
 
Ni kweli Zanzibar wazungu Kama takataka vile.
 
Back
Top Bottom