Ndio kusaidia wapita njia huko mungu awabariki.... baadhi ya hotel wanakaa bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kusaidia wapita njia huko mungu awabariki.... baadhi ya hotel wanakaa bure.
afu paap kisiwa kimezamaZ'bar iwe makini Tusije tukaonekana tumeshiriki kuwasaidia Ukraine, mara paaap mrusi anatuma missile moja heavy
Kama kuna wenye proffessional zao waleteni bara tuwape kazi... Watuundie ndege zetu kama ile ya kwao iliyotunguliwa the biggest plane in the world Antonov the dream of Ukraine na neuclear power piaWamekwama kwenye donor country.... Wacha wabaki tu tutawadumia... Ina maana Kwa sasa sio watalii tena ila ni wakimbizi
MWINYI kachemka, Sasa kuwapa mzigo wenye mahoteli kwa sheria ipi? Kama ni wakimbizi aongee na shirika la wakimbizi wawachukue kama walivyomchukua Lemma.Nchi gani duniani mkimbizi anakaa hotelini kwa gharama za nchi hiyo. UN wachukuwe hawa watu kwenye kambi za wakimbizi. Hata Poland hawajaweka mtu hotel sisi hiyo hela tunatoa wapi?
Hebu tuacheni kujikomba kwa hawa watu
Mkuu eb fanya mambo tupate connection nipo serious nipo tayari kuwasaidia mabinti kadha kutoka [emoji1255]Kiukweli kama una akili unaenda hotelini unamchukua raia mmoja unaenda nae home unampa huduma zote tena kubwa kubwa, pakitulia akiondoka iko siku atakutumia nauli uende ili alipe wema uliomfanyia na hapo ndio gape la kutoboa kimaisha
Hongera Serikali SMZRais wa Zanzibar Dr Mwinyi amesema watalii 900 kutoka Ukraine wamekwama Zanzibar kutokana na vita inayoendelea nchini kwao.
Watalii hao wameishiwa fedha hivyo wameiomba serikali iwasaidie makazi na tayari serikali imeshazungumza na wamiliki wa Hotel walizofikia waendelee kuwahifadhi, amesema Rais Mwinyi.
Source: ITV habari
TuwawoweRais wa Zanzibar Dr Mwinyi amesema watalii 900 kutoka Ukraine wamekwama Zanzibar kutokana na vita inayoendelea nchini kwao.
Watalii hao wameishiwa fedha hivyo wameiomba serikali iwasaidie makazi na tayari serikali imeshazungumza na wamiliki wa Hotel walizofikia waendelee kuwahifadhi, amesema Rais Mwinyi.
Source: ITV habari
Naunga mkono hojaTuwawowe