Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

Kila siku kila saa ombeni Mungu aiepushe nchi yetu vita tuishi kwa aman! Naona watu wengi mnacomment as if Jambo la vita Ni la kawaida sana kwa kuwa haliko upande wenu!

Kuna kila sababu ya kuwahifadhi hawa ndg walio katika wakati Mgumu

SUALA LA VITA LISKIE KWA JIRANI NA SIO KWAKO
 
WWII Wakimbizi wa Poland wakiwa Tanzania, Historia inajirudia 1939 -1945

When the Polish were refugees in Africa
03.06.2019
48993144_101.jpg


Thousands of Europeans sought sanctuary in Africa during World War II — among them were many Polish people. A Canadian filmmaker explores the journey of his Polish forefathers in a documentary.
When Canadian Jonathan Durand traveled to Africa for the first time as a 20-year-old, he experienced a strange sense of being at home, an odd feeling for a young white man.

It took a while for Durand to understand why Africa seemed so familiar to him.

During and after World War II, his Polish grandmother Kazia Gerech had lived in a refugee camp in what is present-day Tanzania — the stories of her childhood near the foot of Mount Kilimanjaro had burned into his soul.

"When your Polish grandmother says that she has gone on safari on Africa's highest mountain, that inspires a child's imagination," he told DW.

As a history student, he was surprised about the lack of information about Poles seeking sanctuary in Africa — his professor had never heard of Polish refugee camps on the continent.

"That's when I started my research," recalls Durand.

His grandmother's testimonies about her life in the small town of Tengeru in northern Tanzania motivated the filmmaker to embark on an emotionally charged nine-year journey that took him to Eastern Europe, the Middle East, and Africa.

The resulting film, "Memory is our Homeland," won the Audience Award at the Montreal International Film Festival in 2019.

'Friendly co-existence'

48993158_102.jpg


Kazia Gerech (standing in the doorway) in front of the hut where her family lived in Tanzania in 1946.
From 1942 to 1949, Gerech lived with her siblings and parents in a simple thatched hut in Tengeru in what was then the British-administered territory of Tanganyika (now Tanzania).

During his travels to the former Polish refugee camps in South Africa, Tanzania and Zambia, Durand said that local people "had good memories of the Poles," who farmed and sent their children to school.

"It was often their first contact with whites," he told DW.

The Polish refugees also have a positive memory of the locals, says Durand. "They were young, and these intercultural encounters have shaped their humanity."

Migration expert Julia Devlin agrees with Durand's findings. "It was a friendly existence, side by side," she told DW. Locals from Tengeru and the Poles even sometimes celebrated mass together, said Devlin, the head of the Center for Flight and Migration at Germany's Catholic University of Eichstätt-Ingolstadt.

From Poland, over Russia and Iran, to Africa

The Polish migration to Africa has its roots in an event from August 1939. That was when Adolf Hitler and Joseph Stalin signed a non-aggression pact that divided several eastern European countries, including Poland, into German and Soviet spheres of interest.

48993128_101.jpg


Although exact figures are difficult to come by, it's thought at least 19,000 Polish refugees, including many children, spent WWII in Africa.
With a few days, Germany invaded Poland, triggering World War II.

Within a few weeks, the Soviets invaded Poland from the east. Like the Nazis in the west of the country, the Soviet Union began to carry out ethnic cleansing. They deported hundreds of thousands of Poles, including many Jews, in four waves to forced labor camps in remote Russian regions such as Siberia and Kazakhstan.

In 1941, the tables were turned when Germany invaded the Soviet Union, forcing Russia to join the Allies.

It triggered an amnesty for the Poles in the USSR. Unable to return to war-torn Poland, some 116,000 Poles living in the Soviet Union were evacuated to Iran, which had been invaded by the Anglo-Soviet alliance.

But Iran proved unable to care for such large numbers of refugees, causing the British government to move Polish civilians to other British colonies.

It was by this circuitous route that the Polish deportees arrived in Tanzania, South Africa, Zimbabwe and other parts of British Africa to see out the rest of WWII.

Finding his grandmother as a young girl

After the end of WWII in September 1945, the African host countries pushed to get rid of the Polish refugees.

48993114_101.jpg


Polish cemetery in Tanzania
"African countries were on their way to independence and didn't want reminders of colonial rule," said Devlin.

But Poles were reluctant to return to their homeland, which was under staunch Soviet control. Eventually, they migrated mostly to Australia, Canada, and Great Britain.

Durand's grandmother made it to England in 1949. There she met her husband, a Pole and a survivor of the Majdanek concentration camp. Together, they immigrated to Canada.

Of all the research Durand undertook, one discovery made a great impression.

At the Polish Institute in London, he found the only existing film footage from the Tanzanian refugee camp where his grandmother had lived.

"I recognized the hospital and a group of young girls walking toward the camera. On the left, smiling and with her arms crossed — that was my grandmother," says Durand. He still gets goose bumps when he looks at the footage today.

Martina Schwikowski

Memories of WWII refugees live on in Tanzania
Memories of WWII refugees live on in Tanzania ARUSHA – On the fringes of a small Tanzanian village called Tengeru lie buried 150 Polish war refugees of more than 5,000 who made it to Tanganyika, who did their best to make a life there. The Third Reich invaded Polish territory on September 1, 1939 without declaration. It was the beginning Kwanini Tanzania hatuna majengo ya kifahari, minara, na makumbusho zinazotambulika duniani? - JamiiForums
 
Wahamishiwe hotel za bei nafuu bara ili kutoa nafasi hotel chache za Zanzibar ziwe wazi kwa ajili ya watalii wapya wa nchi zingine

Wakibaki huko wataziba watalii wapya kukosa hotel .Biashara ya utalii its shake Zanzibar

Waletwe bara at the cost of SMZ sababu utalii sio jambo la muungano kwa mujibu wa katiba
 

Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine...
Wawe wakweli wasitubabaishe waseme ukweli

"Hawana hela na hawataki kurudi makwao kwasababu kuna mtiti kwahiyo wanaomba tuwahifadhi kwa muda mpaka hali itakavyoyengemaa kwao".

Nimeamua kuwasemea maana wazungu full mashauzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi amesema watalii 900 kutoka Ukraine wamekwama Zanzibar kutokana na vita inayoendelea nchini kwao.

Watalii hao wameishiwa fedha hivyo wameiomba serikali iwasaidie makazi na tayari serikali imeshazungumza na wamiliki wa Hotel walizofikia waendelee kuwahifadhi, amesema Rais Mwinyi.

Source: ITV habari

Fursa hiyo serikali ya SMZ na ya Muungano waongee na UNHCR na Umoja wa Ulaya / EU ili watalii hao walipiwe bill za kuendelea kukaa Zanzibar mpaka hapo ufumbuzi wa namna gani wataweza kurejea Ukraine salama.

Diplomasia ya uchumi itumike vizuri ili Tanzania ifaidike maana SMZ au serikali ya Muungano ikuzubaa watalii hapo watapelekwa Poland au hata mahotelini hapo Kenya na kuhudumiwa na mashirika hayo ya UNHCR ya Umoja wa Mataifa na pia EU /Umoja wa Ulaya.


More info :


Johansson said the Commission was willing to provide financial support to Poland as well as assistance from the EU Asylum Agency, Europol and Frontex, the European border agency.

Poland has already asked Frontex to help if a large number of Ukrainians arrive, Johansson said. In contrast, Poland has refused any deployment of Frontex on its border with Belarus, instead sending its own military and border police and building a wall to prevent migrants from the Middle East and Africa from entering the country.
 
27 February 2022
Brussels, Belgium

EU ready and 'well prepared' to host Ukrainian refugees



The European Union is ready and "well prepared" to take in refugees fleeing Ukraine, Ylva Johansson, the European Commissioner for home affairs, told Euronews. Her comments come as fears grow that Russia's intensifying military campaign could soon cause a wave of migrants seeking shelter in nearby EU countries. No major movements of people have been detected so far. "The focus has been on the contingency planning for the very dangerous situation in Ukraine. We don't know what would be the next step of [President Vladimir] Putin, but we have to be prepared if there will be a massive inflow of refugees

Source : EU Debates eudebates.tv
 
Najitolea Mdada Mmoja bomba wa Kiukraine nimuhifadhi kiukimbizi akipenda nampa uraia kabisa tuwe na huruma watanzania
 
Nchi gani duniani mkimbizi anakaa hotelini kwa gharama za nchi hiyo. UN wachukuwe hawa watu kwenye kambi za wakimbizi. Hata Poland hawajaweka mtu hotel sisi hiyo hela tunatoa wapi?
Hebu tuacheni kujikomba kwa hawa watu
Halafu ndugu lum pale hospitalini mnazi mmoja tumeshindwa kuwahudumia wagonjwa wachache huku tunawatunza wazungu kwenye mahoteli ya kitalii.

Ikumbukwe wa Ukraine wanawabagua WASWAHILI Sana. Leo hii wale Bata kwa hela yetu ilhali wagonjwa wetu wanateseka.

No. Tuwape mahema wakae Kama wakimbizi wengine kutoka Burundi na kwingineko.
 
  • Thanks
Reactions: lum
Waafrika tumekuja duniani kuteseka ingetokea kwa wazungu tungefukuzwa kama kuku ila huku tunawanyenyekea.
 

Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine...
Watalii hao Njaa aisee
 
Zanzibar, Tanzania

Watalii toka Ukraine na Russia walitubeba vizuri wakati wa Covod-19 ilipokuwa inaogopwa sana 2020 / 2021.

Hivyo tutumie fursa hii waendelee kubaki hapahapa Tanzania huku tukiwatafutia pesa za mgao za EU na UNHCR mpaka hapo vita itakapokoma baina ya Ukraine vs Russia


Video toka maktaba

29 December 2020
Abeid Amani Karume Intl Airport
Zanzibar Tanzania




Uwanja wa ndege wa AAKIA Zanzibar mwezi December 2020 ukiwa umefurika na hadi sasa 2022 jamaa hawa ndiyo mwokozi wa sekta nzima ya utalii Tanzania
 
Waafrika tumekuja duniani kuteseka ingetokea kwa wazungu tungefukuzwa kama kuku ila huku tunawanyenyekea.


Umoja wa Ulaya watatuma pesa kuwasaidia watalii hawa mpaka watapoondoka, hivyo na sisi tunafaidika kwa pesa za dharura zitakazotumwa kwa kujikimu ktk mahoteli yetu tajwa ya Zanzibar kisha watakuwa mabalozi wa kujitolea kutangaza utalii na vivutio vya Tanzania na Zanzibar.
 
25 February 2022
Sham El Sheikh

Egypt guarantees safety of stranded Russian and Ukrainian tourists​

Egypt, which welcomes hundreds of thousands of Russians and Ukrainians to its Red Sea hotels each year, said Thursday it would guarantee the stay of tourists from the two now-warring countries until their "safe return.


Many Ukrainian tourists are also used to these resorts, which specialise in full-board accommodation in huge seaside resorts and which receive 65% of tourists visiting Egypt.

On the same day that Vladimir Putin's Russian army launched a massive air and ground attack on Ukraine, Egyptian tourism officials met, according to a tourism ministry statement.

They decided that "tourists from countries where air traffic is disrupted will be allowed to stay in the hotels where they are staying in Egypt until they can safely return home".

Many airlines stopped flying to Ukraine even before the fighting began, while on Thursday flights were cancelled from airports in major cities in southern Russia, close to Ukraine
 
Wakiwasaidia hawatakuja kuwasahau.... watakuwa wabalozi wazuri wa Znz. Bora kuingia gharama za muda mfupi, kujenga kitu cha muda mrefu.
 
Umoja wa Ulaya watatuma pesa kuwasaidia watalii hawa mpaka watapoondoka, hivyo na sisi tunafaidika kwa pesa za dharura zitakazotumwa kwa kujikimu ktk mahoteli yetu tajwa ya Zanzibar kisha watakuwa mabalozi wa kujitolea kutangaza utalii na vivutio vya Tanzania na Zanzibar.

30 March 2022
Unguja, Zanzibar
Tanzania

SAKATA LA WATALII wa UKRAINE ZNZ, RAIS MWINYI AFUNGUKA - "LIPO MIKONONI MWA UMOJA WA MATAIFA"


 
Back
Top Bottom