Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika.

Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu.

Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona.

Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari anaetaka kututawala kwa nguvu.

Rudisheni mtandao Watanzania waweze kuwasiliana na kuionesha Dunia ushenzi wa huyu mzanzibari.
 
wawe wazalendo, tume isiwayumbushe
 
Daah ila hii nchi hii.....wanatufanyia ushenzi huu sababu wana nguvu

Watuwashie mtanndao wengine tupate tu mawasiliano na familia zetu ziliopo nje. Ya. Nchi
 
Kufungiaa mtandao pekee zaid ya. Siku 3 ni zaidi ya ukandamizaji

Hawa watu wanawazaje nani anawashaurii wafaanye haya

Mbona wanawaza. Kikatili sna

Wanajua wangap wanawavurugia mambo yao sabbu ya kukosa mtandao
 
Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika.

Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu.

Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona.

Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari anaetaka kututawala kwa nguvu.

Rudisheni mtandao Watanzania waweze kuwasiliana na kuionesha Dunia ushenzi wa huyu mzanzibari.
Ulikuwepo wapi kipindi watanganyika wanaikandamiza Zanzibar
 
Back
Top Bottom