Hivi karibuni kuekuwa na watu wasio wazalendo wa nchi hii wakipiga kelele za kuilalamikia Zanzibar
Zanzibari ni kanchi kadogoooo sana, wazanzibari kwa idadi yao ni milioni 2 huku watanganyika wakiwa takribani milioni 70 kwa makadirio hadi sasa.
Zanzibar ni ndogo sana kuzidi hata wilaya nyingi sana, Hata kupewa hadhi ya kamkoa ni kubwa sana,
Nashangaa kuona hii milio, kanchi hako kadogo kanakopewa hadhi ya kajimkoa kanaliza vipi nchi kubwa yenye watu walioni 70, mbuga, madini, mito, maziwa, ardhi nzuri, n.k ?