Hujui lolote kuhusu muungano uliofanyiwa kazi kubwa na baba wa taifa, Mwalimu Julius NyerereTatizo lenu ndiyo hili, ujinga..yaani vichwa vimejaa haja kubwa
Aliungana na nini?Hujui lolote kuhusu muungano uliofanyiwa kazi kubwa na baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere
Ndio maana nimeseam wengi mnaopiga kelele hamjui hitoria ya muungano, tafuta hata manafunzi wa darasa la sita atakuelekezaAliungana na nini?
Mi naijua historia ya muungano kuliko wewe, muungano Julius alilazimishwa na wakubwa wake marekani na UK,swali langu la kimantiki kwako tokana na mada yako, aliungana na nini?Ndio maana nimeseam wengi mnaopiga kelele hamjui hitoria ya muungano, tafuta hata manafunzi wa darasa la sita atakuelekeza
Punguza kelele, Zanzibari ni kama kamkoa mna hofu iliyopitiliza kwa kasehemu kadogo kenye watu wachache.Mi naijua historia ya muungano kuliko wewe, muungano Julius alilazimishwa na wakubwa wake marekani na UK,swali langu la kimantiki kwako tokana na mada yako, aliungana na nini?
Tanganyika iliungana na mkoa?Punguza kelele, Zanzibari ni kama kamkoa mna hofu iliyopitiliza kwa kasehemu kadogo kenye watu wachache.
Kumbe una akili zakujua iliungana na nchi, nchi ipewe heshima yakeTanganyika iliungana na mkoa?
Aliyedharai nchi ya Zanzibar nani kwenye huu uzi nani?..nyi watu mmerogwa!?Kumbe una akili zakujua iliungana na nchi, nchi ipewe heshima yake
Wewe tuwache sisi! Tanzania bara/Tanganyika inalizwa na CCM na sio zanzibar. Samia hakuibuka tu toka zanzibar na kuwa raisi wa tanzania. Samia amakuwa katika system ya CCM kwa miaka mingi sana na hiyo hoyo system ndio iliyomfikisha alipo na kuwa na roho mbaya kiasi hicho. Samia alikuwa katika system kabla ya 1995 wakati wazanzibar walipokuwa wanazidi kuungana kuupinga utawala wa CCM na wa serikali mbili. Samia likuwa tayari katika system ya CCM mwaka 2000 pale mkapa alipotuma jeshi zanzibar kuua na kujeruhi wengi. Samia alikuwa tayari ameshabobea katika CCM pale mwaka 2020 magufuli alipopeleka majeshi tanzania kufanya alichofanya mkapa. Samia anafanya kile ambacho CCM wamezoea kufanya kwa wananchi wake, simple!Hivi karibuni kuekuwa na watu wasio wazalendo wa nchi hii wakipiga kelele za kuilalamikia Zanzibar
Zanzibari ni kanchi kadogoooo sana, wazanzibari kwa idadi yao ni milioni 2 huku watanganyika wakiwa takribani milioni 70 kwa makadirio hadi sasa.
Zanzibar ni ndogo sana kuzidi hata wilaya nyingi sana, Hata kupewa hadhi ya kamkoa ni kubwa sana,
Nashangaa kuona hii milio, kanchi hako kadogo kanakopewa hadhi ya kajimkoa kanaliza vipi nchi kubwa yenye watu walioni 70, mbuga, madini, mito, maziwa, ardhi nzuri, n.k ?