Watanganyika ndio Wazenji halisi

Watanganyika ndio Wazenji halisi

Kuna sehemu unakwama kiakili mkuu, KUle kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano kama kulivyo huku, ila ukienda kutemebea wiki moja ni ngumu kuyaelewa.

Swali lako lilikua linauliza hivi

"Aliekwambia UAE kuna serikali moja nani?"

Nadhani nimekujibu.

Ukitaka tuache suala la serikali ngapi, tuanze kuongelea mambo ya muungano na yasio ya muungano hiyo ni mada nyengine ambayo haihusiani na idadi ya serikali katika muungano.
 
Back
Top Bottom