Kuna sehemu unakwama kiakili mkuu, KUle kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano kama kulivyo huku, ila ukienda kutemebea wiki moja ni ngumu kuyaelewa.
Ukitaka tuache suala la serikali ngapi, tuanze kuongelea mambo ya muungano na yasio ya muungano hiyo ni mada nyengine ambayo haihusiani na idadi ya serikali katika muungano.