britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koloni letu hilo, siku walipopata nafasi ya kuwa mwanachama wa CAF nilishangaa sana lakini serikali iko makini ikacheza bonge la faulo Kudos Tanzania government
Hiyo sio sawa. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo wangeandika "TANGANYIKA" versus "ZANZIBAR".Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lkn kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nn wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
Una uhakika Zanzibar ni mwanachama wa CAF?Sasa mbona bado ni wanachama wa CAF!
Mzee unachanganya kati ya fifa na cafUna uhakika Zanzibar ni mwanachama wa CAF?
Zanzibar ana uanachama wa kupeleka vilabu tu sio national team
Naona Neno Tanganyika halipendwi kabisa na hata na Watanganyika wenyewe.Hiyo sio sawa. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo wangeandika "TANGANYIKA" versus "ZANZIBAR".
😝😝😝😝 nimecheka kama mwehu, hivi unafatiliaga michezo kweli?Mzee unachanganya kati ya fifa na caf
Zanzibar ndio tatizo..kwa nini wasitumie jina lao la Tanzania visiwani? Mbona Tanzania bara hawatumii Tanganyika na hakuna tatizo lolote....Tanganyika na Zanzibar wanacheza huko. Lakini kwenye screen wameandika Zanzibar na Tanzania bara. Sijui ni kwa nini wasiandike tuu Tanzania bara Vs Tanzania visiwani
Naona Neno Tanganyika halipendwi kabisa na hata na Watanganyika wenyewe.
Sielewi ni kwanini
Zip features za failed State?TZ Ni Failed State.
Hakuna Uelekeo, Bora Kumekucha.
Hakuna uelekeo.