Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini.
Kuna kila sababu na huku Tanzania bara tukaweka masharti kama hayo kwenye nafasi ya urais tu. Endapo VP anafokea visiwani na ikatokea nafasi ya urais ikabaki wazi kwa kifo ama jambo lolote lile, basi uchaguzi ufanyike upya ili kujaza nafasi .
Kwa siku 90 nchi iwe mikononi mwa baraza la usalama la nchi (the national security council) litakalokuwa likiongozwa na spika wa bunge ama jaji mkuu. Lakini kama makamu ni mtanganyika basi autwaye urais kama ilivyotokea kwa Samia.
Kwa kufanya hivi tutaondoa huu upotevu wa rasilimali unaofanyika pasipo kujali chochote kwasabb nafasi imeshikwa na "wa kuja". Uzalendo na uchungu hapo!
Nawasilisha.