Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
ASISINGIZIWE MUNGU MUNGU Anatupenda Sana Ametupa NCHI yenye kila KITU SHIDA na TAABU ZOTE HIZI NI CCM na VIONGOZI wake Tumwombe Mungu Atende Miujiza Juu Yao1. Umasikini uliokithiri(ccm matajiri)
2. Viongozi wabovu(ccm wanarithishana uongozi)
3. Elimu duni(watoto wa wanyonge)...
Mkuu, mimi naona unazidi kutonesha jeraha tu.1. Umasikini uliokithiri(ccm matajiri)
2. Viongozi wabovu(ccm wanarithishana uongozi)
3. Elimu duni(watoto wa wanyonge)...
mtihani huu nchi ya kifalme mali ya ccm ukiwa lofa utakufaASISINGIZIWE MUNGU MUNGU Anatupenda Sana Ametupa NCHI yenye kila KITU SHIDA na TAABU ZOTE HIZI NI CCM na VIONGOZI wake Tumwombe Mungu Atende Miujiza Juu Yao
sawa mwana ccm najua ww ni miongoni ya wanufaikaUmaskini upo kila nchi hapa duniani. Hata USA na Uingereza kuna homeless people wanalala mitaani kwenye maboksi.
Hayo uliyoorozesha mbona hayahusiani na hoja ya mtoa mada.Au ndo umekuja kutetea ccm kwa hoja dhaifu hivyo.Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.
Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.
Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?
Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Utetezi wa ajabu sana.Kwa hiyo tutulie tu kwa sababu Marekani ni matajiri ila kuna watu wanalala kwenye maboksi?Hao wasionacho ni asilimia ngapi ukilinganisha na wenye "kheri"?🤔🤔🤔Umaskini upo kila nchi hapa duniani. Hata USA na Uingereza kuna homeless people wanalala mitaani kwenye maboksi.
Shida siyo CCM wala Serikali, shida ni ujinga wa wananchi.ASISINGIZIWE MUNGU MUNGU Anatupenda Sana Ametupa NCHI yenye kila KITU SHIDA na TAABU ZOTE HIZI NI CCM na VIONGOZI wake Tumwombe Mungu Atende Miujiza Juu Yao
Watanzania wengi kulalama ni moja ya sifa wanayotakiwa kuiweka ndani ya wasifu wa kuombea kazi.Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.
Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.
Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?
Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.
Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.
Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?
Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Sio kwa mtindo huo sasa.Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.
Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.
Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?
Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Shida siyo CCM wala Serikali, shida ni ujinga wa wananchi.
Kwahiyo huu ni uwekezaji kwenye sayansi na uvumbuzi?Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.
Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.
Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?
Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Ndo mmezoea kudanganyana hivyoUmaskini upo kila nchi hapa duniani. Hata USA na Uingereza kuna homeless people wanalala mitaani kwenye maboksi.
Mungu katuonyesha njia kwa kumuondoa dhalim aliyekuwa anaipeleka nchi kuzimu,iliyobaki ni sisi wenyewe kujiongeza ili tupate Katiba itokanayo na maoni ya Watanzania.1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri)
2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi)
3. Elimu duni (watoto wa wanyonge)
4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto)
5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele)
6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai)
7. Lishe duni na udumavu (uwezo mdogo wa kufikiri)
8. Bunge dhaifu (linatimiza matakwa ya CCM na si Watanzania)
9.