Watanganyika tulimkosea nini Mwenyezi Mungu?

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri)

2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi)

3. Elimu duni (watoto wa wanyonge)

4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto)

5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele)

6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai)

7. Lishe duni na udumavu (uwezo mdogo wa kufikiri)

8. Bunge dhaifu (linatimiza matakwa ya CCM na si Watanzania)
9.
 
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.

Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.

Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?

Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
 
Umaskini upo kila nchi hapa duniani. Hata USA na Uingereza kuna homeless people wanalala mitaani kwenye maboksi.
 
Hayo uliyoorozesha mbona hayahusiani na hoja ya mtoa mada.Au ndo umekuja kutetea ccm kwa hoja dhaifu hivyo.
 
Umaskini upo kila nchi hapa duniani. Hata USA na Uingereza kuna homeless people wanalala mitaani kwenye maboksi.
Utetezi wa ajabu sana.Kwa hiyo tutulie tu kwa sababu Marekani ni matajiri ila kuna watu wanalala kwenye maboksi?Hao wasionacho ni asilimia ngapi ukilinganisha na wenye "kheri"?🤔🤔🤔
 
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.

Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.

Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?

Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Watanzania wengi kulalama ni moja ya sifa wanayotakiwa kuiweka ndani ya wasifu wa kuombea kazi.

Hakuna bure duniani, hao wanaotufadhili kila mwaka ni binadamu kama sisi ni lazima watuchoke.
 
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.

Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.

Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?

Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.

Kwamba?

"Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA."

Mbona wabunge, mawaziri na vigogo lukuki hili haliwahusu?
 
Nchi zote zilizoendelea, hizo zilizowekeza kwenye SAYANSI NA UVUMBUZI wa kutuletea hizi smart4n ,RAIA WAKE walijifunga/wanajifunga mikanda.

Wanalipa KODI Wanakatwa KODI..tena KODI KUBWAKUBWA.

Utayapataje maendeleo ya nchi kana kwamba ni mvua IMWAGIKAYO kutoka angani?

Hiyo MVUA yenyewe haiji kama UTAKATA MITI HOVYO NA KUHARIBU MAZINGIRA. Hizi "pang'ang'a" za kama wale wanaoandamana kule "bondeni" hazitusaidii.
Sio kwa mtindo huo sasa.
 
Kwahiyo huu ni uwekezaji kwenye sayansi na uvumbuzi?

Acheni kutetea unyonyaji. Mlo mmoja tu kwa siku wa wananchi ni shida mnakuja na usenge wa kusema tufunge mikanda. Ningekuona una akili kama ungeshauri hayo mav8 yanayo nunuliwa na serikali yasinunuliwe hizo hela zielekezwe kwenye maendeleo. Wabunge wanalipana hela kubwa sana, ungeshauri wapunguziwe.

Ningekuona una akili sana.

Au huenda wewe ni mbunge, waziri au mtu ambaye hujaguswa kwenye maslahi yako
 
1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri)

2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi)

3. Elimu duni (watoto wa wanyonge)

4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto)

5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele)

6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai)

7. Lishe duni na udumavu (uwezo mdogo wa kufikiri)

8. Bunge dhaifu (linatimiza matakwa ya CCM na si Watanzania)
9.
Mungu katuonyesha njia kwa kumuondoa dhalim aliyekuwa anaipeleka nchi kuzimu,iliyobaki ni sisi wenyewe kujiongeza ili tupate Katiba itokanayo na maoni ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom