Watanganyika wadanganyika!

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Samaleko Watanganyika!

Leo nimeona nije na huu uzi kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini. Viongozi wanatuona kama Mazuzu kwa kutoa majibu mepesi mithili ya mshindo wa kwanza kwenye mambo muhimu.

Nchi imekua na Viongozi hovyo ukisikiliza Bunge ni porojo tupu uongo mwingi mnadanganya Wananchi 2025 ipo kwenye kona.

 
Jamaa kauli zao zinaachaga mlango wa kutokea na Huwa hazina ukuta kuonesha hapa ndio mwisho wa Ajenda yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…