Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Samaleko Watanganyika!
Leo nimeona nije na huu uzi kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini. Viongozi wanatuona kama Mazuzu kwa kutoa majibu mepesi mithili ya mshindo wa kwanza kwenye mambo muhimu.
Nchi imekua na Viongozi hovyo ukisikiliza Bunge ni porojo tupu uongo mwingi mnadanganya Wananchi 2025 ipo kwenye kona.