Hujui kitu kaa kimya.
Kwa mfumo mbovu wa CCM kuna nafasi ukikaa mgao wa million 50,70, 100 ni kawaida sana. Na polepole alishawahi kuwa huko . Mahali alipo sasa ni mwendo wa mshahara na posho kidogo basi . Kama wewe ukipewa ile nafasi utafurahia mpaka uwehuke lakini Polepole alishaonja nafasi za mabasha mengi.
Amesubiri kadhindwa kuvumilia .