Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wajibu wao ndio huo?Ulitaka wasiimbe?
Kafanyaje?Mchengerwa kazini
Walimpigia debe kuwa yeye ndiye mtawala ajaye?Lakini walitoa airtime kwa mkutano wa chadema mwanzo mwisho !!
Wakati ukifika atapigiwaWalimpigia debe kuwa yeye ndiye mtawala ajaye?
Na wangeimba no reforms no election, ungesemaje?Wakuu,
Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa.
Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao!
Wanapiga debe hewani kauli mbiu ya 'Mitano tena,' yakumpatia Rais Samia nafasi ya kuongoza hadi 2030. Hiii inaonyesha kupuView attachment 3216428ngua kwa uhuru na uwajibikaji wa vyombo vya habari katika demokrasia yetu. Jipu la uchawa linazidi kukua.
Lakini walitoa airtime kwa mkutano wa chadema mwanzo mwisho !!