EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nguruwe hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viva crown FM vivaaa!
Wakuu,
Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa.
Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao!
Wanapiga debe hewani kauli mbiu ya 'Mitano tena,' yakumpatia Rais Samia nafasi ya kuongoza hadi 2030. Hiii inaonyesha kupungua kwa uhuru na uwajibikaji wa vyombo vya habari katika demokrasia yetu. Jipu la uchawa linazidi kukua.