GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Metacha anasimamiwa na Jemedari leo nimesikia wanavyompa promo huko efmWana ufara mwingi sana hao wachambuzi, mfano metacha kunyoosha dole la kati jemedari aliongelea dakika chache
Ila kosa la mkude alisimamia kidete bila kujua ata anatuhumiwa na nini, jana ivyo ivyo kwa morisson naona kashikia bango
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
hata mimi nimeshangaa yaani wachezaji wanacheza mipira ya kihuni halafu wanasifiwa walijitahidi kukaba, waende na huu ukabaji kwenye marefa wa klabu bingwa afrika halafu waone nini kitatokeaHata faulu za kishetani kabisa alizofanyiwa Miquisonne hawajaziona, hawa ni vilaza kabisaView attachment 1869255
Ndioo mkuu, pia anamsimamia BoccoMetacha anasimamiwa na Jemedari leo nimesikia wanavyompa promo huko efm
Kwani Simba kilimtokea nini?hata mimi nimeshangaa yaani wachezaji wanacheza mipira ya kihuni halafu wanasifiwa walijitahidi kukaba, waende na huu ukabaji kwenye marefa wa klabu bingwa afrika halafu waone nini kitatokea
ukiacha upolisi ambao weng ni divisheni 4 , waandishi wa habari wengi ni divisheni 4 mpaka zero.Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata Kumsababishia Kifo limejadiliwa kwa dakika 10 tu.
Naelekea kuacha Kusikiliza Vipindi vya Michezo vya Redioni na Wachambuzi wao kwani huko sasa Kumevamiwa na Watu wa 'hovyo hovyo' tupu ambao wamejaa Chuki, Unafiki na Mahaba kwa Timu iliyolaanika na iko katika Mkondo wa Maji Bahari kuelekea Daraja la Salenda kupitia Muhimbili Hospitali.
Tukio la ajabu ni lipi angebaki uchi kweli ingekuwa tabuHivi popoma kwahiyo akivua bukta wasiseme na badala yake waongelee la mukoko tu?
Popoma una nini lakini?
Sasa ile ilikuwa ni mieleka?Tukio la ajabu ni lipi angebaki uchi kweli ingekuwa tabu
Tunatazama mieleka wanachezana vichupi tu
Alivalia Chupi ya Njano acha Ubishi sawa?Chupi ya njano umeiona wapi ulimvalisha wewe ushakuwa mtu mzima acha tabia ya kuongea ongea uwongo.
Mbona kama Ilikua ya blue au mimi ndo niliona vibaya ?? ..Alivalia Chupi ya Njano acha Ubishi sawa?
Kwanini mnakuwa Wabishi nyie? Alivalia Chupi Rangi ya Njano nendeni ( ingieni ) huko YouTube muone. Mnaboa na Kunichosha sasa.Mbona kama Ilikua ya blue au mimi ndo niliona vibaya ?? ..