cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
GersonOscar Oscar EFM
Jerryson Msigwa Kurugenzi Ya Mawasiliano Ikulu
navutiwa zaidi na watu wenye sauti nzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GersonOscar Oscar EFM
Jerryson Msigwa Kurugenzi Ya Mawasiliano Ikulu
navutiwa zaidi na watu wenye sauti nzito
poa ngoja natumaSun nini sijui ila kinaanza saa 10 jioni kama una picha yake naomba@Joseverest
huyu hapa Hanifa RoySun nini sijui ila kinaanza saa 10 jioni kama una picha yake naomba@Joseverest
Hii list ni A+ ningemuongeza Ben Kiko1.Marehemu David wakati RTD
2.Marehemu Julius nyisanga ancle JJ
3.Ahmed kipozi
4.Marin Hassan Marin
5.Charles Hillary
6.Ivona kamuntu
7.Ally salehe alikuwa bbc zaman ila sasa yupo azam
sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
Na marehemu dada yao Vivian TilyaAdela tilya wa EFM na Irene Tilya wa Ea radio...sijui hawa ni ndugu?
Sahihi kabisa mkuu
Mhenga mwenzangu hahaha
John Maratuuu wa itviiiiii
Poa Ninjahuyu hapa Hanifa Roy![]()
![]()
Sent from my iDevice using Tapatalk
una miaka mingapi?baba la baba Adam Mchomvu - clouds fm!!