Watangazaji ninaowazimia(penda)

Watangazaji ninaowazimia(penda)

1) paul odeka


2) babra hasani clouds [HASHTAG]#power[/HASHTAG] break fast



4) king smash ea radio [HASHTAG]#the[/HASHTAG] cruizer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sun nini sijui ila kinaanza saa 10 jioni kama una picha yake naomba@Joseverest
huyu hapa Hanifa Roy
55e575ecb09d20aaa99662fea8fdaec2.jpg
9f48c353031eab5f58436ac91b2d0188.jpg


Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Tabasamu la Ivona Kamuntu wacha kabisaa..anajua nini maana ya utangazaji na hadhira yake inataka nini na kwa wakati gani..Mungu aendelee kumlinda huko alipo!
 
Back
Top Bottom