Niko nae hapa chako Ni chako kazoea kupinga pinga kwenye siasa basi hata kwenye michezo ni mwendo wa kupinga tu[emoji1787
umenyoosha maelezo gani zaidi ya chuki?wote tunatizma pambano acha majungu na ubishihuna hoja , aliyelewa anawezaje kunyoosha maelezo hapa jf ?
weka ushahidi basi ili niumbukeumenyoosha maelezo gani zaidi ya chuki?wote tunatizma pambano acha majungu na ubishi
Usiku mwema mkuuweka ushahidi basi ili niumbuke
huna loloteUsiku mwema mkuu
Mazuri pale yako upande gani ?Watu wa chadema mna shida Sana
Hamna jema kabisa,Nyie kila kitu kupinga TU,
Hata Yawe mazuri vipi, Lazima mtapinga tu
Mmmm unalako wewe?Katika watangazaji wanaoniboa ni huyo patrick Nyembera...jamaa anafosi sana aonekane ni mtangazaji na mchambuzi wa michezo ila hana cha maana. Si soka wala ndondi hakuna ajualo. Nlimkataa toka yupo EATV kabla hajahamia Azam tv
Uyo anachuki na ma bondia wa Jeshi, kwakua ana misimamo ya kipinzani dhidi ya Serikali Sasa nadhani anajumuisha na Mabondia wa Jeshi.Mmmm unalako wewe?
Lazima utakuwa timu Osama wewe. Mbona kwenye pambano la mjeda na yule tall wa Mwanza muda wote walimfagili dogo wa Mwanza? Acha chuki na makasiriko, be realistic. Osama kapigwa kihalali kabisa.Hii iko wazi kabisa na inaitia aibu Azam Media , Watangazaji hawapaswi kuwa na upande .
Kwa Mfano , bondia wa JW anayeitwa Emiliano Partric amefagiliwa na watangazaji wa Azam kibwege sana huku akibanwa mbavu na bondia mchanga aitwaye Osama kutoka Mtwara , kwa kifupi ni kwamba huyo dogo Osama hajapigwa ngumi yoyote ya maana , hata kama ni kweli kwamba huyo Emiliano ameshinda , lakini kiukweli Watangazaji wa Azam walitaka kuwaandaa Washabiki kwa matokeo ya Utata .
Hii ni Aibu sana !
Acheni Matokeo yatangazwe na Majaji , Watangazaji wa Azam kudhani sisi wengine hatujui boxing ni mawazo ya Kijinga sana !
Tuheshimiane .