Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Maua mbona ni mapambo hata kwenye magar,majumban,skuls maofsin kama ulivosema yanapamba kwan yanaonyesha imani?
 
poleni mnaoangalia TBC. Mie niliifuta siku nyiiiingi hapa nyumbani kwangu
 
Wameyataka wenyewe, kujistiri hakuna mwezi maalum, mwanamke wa kiislam inatakiwa daily ufunike kichwa na kuvaa mavazi ya staha, sasa kama mlienda kazini vichwa wazi miezi yote mko hivyo, mnavaa vimini leo mbadilike gafla?! lazima mbaniwe muwe na utaratibu wa kuvaa hijab na vilemba hata mnapokwenda kwenye interviw ili waamue moja kujua wanachukua mtu wa aina gani kuepuka huu usumbufu sidhani kama wangekuajiri unavaa kilemba na hijab ingefika wakati uambiwe vua haya mavazi. Mliwaonesha mnaweza kuiuza TBC sasa wanataka mfanye hivyo.
 
wakivaa kawaida wanapungukiwa nini? waache unafiki
 
Hata mm ndo nmeshangaa wapgwe tu hata x maana hakuna namna watu tutaonaje vpaja vyeo sasa kwann aasianze kujistir huko nyuma
 
Inawezekana taratibu za TBC haziruhusu, halkadharika Jeshini wapo waislam safi lakini taratibu za hapo haziruhusu kuvaa hijab. Nafikiri kuna kitu Tanzania imeendelea kukijenga, hii tabia ya watu ya kutaka kujitofautisha kwa mambo ya kidini bila sababu za msingi sidhani haikubaliki, ina nia ya kutugawa, kikubwa kila mwenye dini yake ajue mipaka yake pia ajue mipaka ya wengine, TBC sio kituo cha kidini japo watu wake wana dini hivyo wakati wote kisimamie taratibu na miongozo bila kutetereka, walokole wengi wakisalimia huanza na Bwana Yesu asifiwe! hivi salamu hiyo ikitolewa wakati mtangazaji anaaaza kutangaza ataeleweka? Acheni mambo hayo Bwanaaa!!
 
kabla hamjaanza "kufokasi" kwenye tuvitu tudogo tunavo husiana na masuala ya kidini,boresheni kwanza hilo tv lenu ili muliongezee watazamaji.
 
Waislam hawalipi kodi kama waislam bali kama watanzania. Unapoenda kulipa kodi huulizwi dini yako bali tin tu. Acheni kukuza vitu vidogo
 
Hicho kituo kikifungwa ili kuokoa fedha na zikaenda kununua madawati ingekuwa sawa tuu
 
Hii inaoyesha kwamba nchi yetu ipo nyuma na hakuna human rights; wanatakiwa kushtaki serikari sio kikao, na walipwe fidia.
 
Hata BBC wadini sana, wamekaachia kale ka shost kanavaa hijab ...... Umefurahi?
 
Wangevaa kupitia ITV sawa kwa sababu ile ni ya binafsi.
Ila hii tibisii ni ya serikali inayoendeshwa kwa kodi zetu na kodi nyingine zinatokana na chair fire!
 
issue sio linafungwaje na wala sio issue ya kupendeza,kazi ya msingi ya hijab ni stara,kupendeza ni secondary function,kama ni kweli vazi hilo limekatazwa kuna hoja ya kujadili,lakini ni ngumu kidogo kujadili tetesi.
Umesema vyema broda..
 
Hata kama hiyo TV ingekuwa ya kanisa sioni I tatizo hapo mbona wanapendeza tu, mwangalie zuhura yunusu Wa BBC utaipenda tu TV, lakin wasiwe wale Wa kubakiza macho tu sijui wanaitwa nani ........
 
Utakuta mtu kavaa hijabu, huku chini suruali ya kubana, sijui ni kujistiri kwa aina gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…