Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Kama mtangazaji akiwa open si ndio vizur aonekane kwa watazamaji wake badala kujizungushia hizo hijab? Kwan pale mskitini?
 
Kweli kabisa.
 
Funguza dharau mkuu haisaidii kitu
 
Serikali yetu ccm hatutaki ujinga huo , hapa kazi tu hijabu huko Uarabuni
 
Ofcourse kwy airport ni risk sana kuvaa hayo mavazi hasa kwa wafanyakazi,wanaweza kutumika kupitisha vitu vya hatari,wizi nk Hata wale air hosters wa Qatar hawavai izo mahijab wana sketi flan ndefu na kitambaa cha kiaina wkt shirika lenyewe linamilikiwa na waasisi wa uislam,nyie mbululaz mlioletewa na mkoloni sultan bin said ndio mnauchungu kuliko wao! Ok wafukuzwe kazi waajiriwe watu wanaojua kutofautisha kati tv imaan na tbc.Nadhani pia watakua wamesomea ivi vyuo vya div five!Na ukiangalia hijab za siku izi ni shida tupu mipango nje nje alafu zinateleza kinoma,sasa pata picture apo.
 
Kama mtangazaji akiwa open si ndio vizur aonekane kwa watazamaji wake badala kujizungushia hizo hijab? Kwan pale mskitini?
Uvumilivu jambo jema sana.. Mbona ikifika mwisho wa mwaka baadhi ya ofisi za umma zinawekwa maua ya imani fulani kwani pale kanisani
 
 
Afrika na nchi kama Tanzania. Watu wake watakuwa huru na wenye kupiga hatua za kimaendeleo, kuwa na maisha bora na kuwa na watu wenye furaha ktk ulimwengu huu siku
Watakapo acha vitu hivi vitatu

1. Ujinga
2. Ubaguzi
3. Ubinafsi

Nakuunga mkono, na mm nafikiri nchi hii itakuja kuangamia kwa vitu vidogo mno amabvyo ukiviacha haviharibu credibility ya taasisi. lakini utakuta jambo linashupaliwa kwa nguvu zote. na maranyingine hii ni hatari kwani hata yule asiyeamini kuwa kunaubaguzi hapa ndio anapata nafasi kuwa mambo si sawasawa kama alivyofikiri mwanzo. Mawazo na mitazamo hii ikitamalaki katika jamii, aliyekataza na mkatazwaji wote watapotea kwa kila mmoja na imani yake. TBC kama hamna chakufanya ili kuboresha Taasisi yenu bora kuacha haya mambo, si mwenendo mwema kwa mustakbali wa jamii yetu
 
Kosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?
Wewe mjinga na mpuuzi acha kumhusisha Yesu katika majadiliano yenu.
 
Wamesha pata sababu mbona siku zote tunawaona vichwa wazi wasidanye watu kwamba wao ndo washika dini

hivi unafikiri hawa TBC wangewaacha hizo siku 30 zikapita kungepatikana hasara gani???? na wakishajua kuwa hawa wanajipeleka tu hawana wanachokijua ndio vizuri zaidi kuwaangalia na hijabu zao za mwendo kasi, siku 30 zikiisha wanakuja kuwauliza imekuwaje tena mbona hijabu zimetupwa??? haidhuru kuwas anaanza leo au kesho. hivi ni vitu vidogo sana jamani, lakini ukubwa wake ni pale utakapolazimisha kuwa kisifanyike wakati wafanyaji wenyewe wameshaonekana ni wamwendo kasi, mwisho siku 30.
 
Source pls maana isije kuwa tunadiscuss udaku
 
Mavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…