CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Amri si zinakuja kila leo! UPAKOHayo majani ya mgomba,ndio yamearishwa kwenye kitabu chao cha dini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amri si zinakuja kila leo! UPAKOHayo majani ya mgomba,ndio yamearishwa kwenye kitabu chao cha dini?
Imo ndani ya KITABU chao cha Biblia?Amri si zinakuja kila leo! UPAKO
Taja watangazaji wanne wa kike waislamu ndani ya TBC(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
Waache KAZI kama mwajiri wao haamini katika dini
Hakuna lakini si zinakuja amri kila leo. Kuna amri za kanisa ni lazima kama za Biblia!Imo ndani ya KITABU chao cha Biblia?
amri zingine za bibilia ziliexpire mkuu,sio zote zinatumikaHakuna lakini si zinakuja amri kila leo. Kuna amri za kanisa ni lazima kama za Biblia!
Unakosea unapotaka waislamu wapewe haki yao ya kiimani kwa sababu wao ni sehemu ya walipa kodi. Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba kwa wananchi wote so ni lazima wapewe haki yao ya kiimani regardless wanalipa kodi au hawalipi.(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
Kwani TBC wapo misriMbona hata majeshini wanavaa hijab Google jeshi la Misri uone
Kuna member amesema na majeshini watadai wavae ndo nikampa hyo rejea na kuna mtu kapost na picha ya police wanawake wamevaa hijab sasa shida nn? Halafu Misri herufi m inatakiwa iwe kubwa kilaza weKwani TBC wapo misri
Naanza kumdharau ryoba,basi wamwambie na makamu wa rais avue(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
Tamko lako linawahusu ma sister pia?Mavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Mwambie TumefungaUislam ni dini safi na isiyopenda ugomvi ila maneno kama haya ndo husababisha hasira na chuki,leo nimekuambia kistaarabu acha hayo maneno yako,usiwachokoze watu ambao hataki uchokozin