Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

TBC siyo peace tv wala TV Imaan..waende huko kama wanatamani hayo mavazi...watuondolee udini wao mashetwani hao...hata TVZ wanaweza kuhamia huko...don't bother us
Futa sheitwani please makosa ya mtandao....kidding
 
Jamani sorry kwa hilo neno..I wish kama ningeweza kulifuta...nimetafakari baada ya kuliweka...hope wengi mmenielewa na kunisamehe..nilihemka kama maCCM
rafiki tafuta hiyo post yako edit, then utafuta. Usiogope hujamtaja mtu. n
 
Mavazi ya kidini hayapo ila kuna mavazi ya stara na heshima hayo ndo huvaliwa na watu wanaomuogopa MUNGU si wengine bali ni muslim,mfumo kristo una mwisho wake.
Endelea kuota,kama madrasa wanakufunza haya basi umepotokwa shekh.
 
Mavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Makamu wa rais na baadhi ya mawaziri wanawake huwa wanavalia hijjab majumbani mwao?Fooli.sh
 
1bbf25fb4d32f6dfe2747a11423a0288.jpg
 
Tanzania tulifanya kosa kubwa sana kurusu huu ufirauni,miaka ya nyuma hakukuwa na upuuzi huu,siku hizi hadi mashuleni,taabu kweli!

Hata mimi kitu hiki kinanishangaza sana!! Shule za,Serikali kwa mfano upande wa wasichana uwezi kujua uniform inayo ruhusiwa ni hipi hasa - ni vurugu tupu.
 
Tanzania tulifanya kosa kubwa sana kurusu huu ufirauni,miaka ya nyuma hakukuwa na upuuzi huu,siku hizi hadi mashuleni,taabu kweli!
Watembea uchi ndo unawapenda si ndiyo?Ndo maana baadhi ya makanisa wanawake huvaa vinguo vyenye kutamanisha na huishia kutafunana na waumini uchwara ama kutafunwa na mapadre/wachungaji.
 
Yani kinachowachoma nyie nini kufunika kichwa ? Mbona mnamambo ya ajabu
 
Watembea uchi ndo unawapenda si ndiyo?Ndo maana baadhi ya makanisa wanawake huvaa vinguo vyenye kutamanisha na huishia kutafunana na waumini uchwara ama kutafunwa na mapadre/wachungaji.
Soma vizuri andiko langu harafu unioneshe mahala nimeongelea mavazi/nguo.
 
Back
Top Bottom