Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama haamini katika dini anaamini katika mavazi ya heshima, ni vaziWaache KAZI kama mwajiri wao haamini katika dini
Kweli mkuu,mimi nimeongelea ufiraunh na upuuzi mtu analeta hoja ya mavazi,tabu tupuJr, watu wanakurupuka!
wewe ndio unaonekana una udini, liite vazi tu inatoshaMavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
Mbona hata majeshini wanavaa hijab Google jeshi la Misri uoneMavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini
labda lina tatizo,ngoja tusubiri hapa tutapata jibuKwani Hijab si vazi tu ,tatizo ni nini ??
Mkuu,usichanganye Hijab na mtandio wa rusha rohoKama ni kweli,Jana nilimwona Asha Haji katupia hijab nyekundu.Kiukweli alikua hajapendeza kabisa, na huenda kuna watu walitoa taarifa uongozi wa TBC, kwani aliifunga ka mtu ambaye hajui inafungwaje na kuvaliwaje.
Nadhani inabidi Zuhra Yunus apewe mchongo wa kuwafundisha jinsi ya kuifunga. kwani hata tai sio kila mtu anajua kuifunga.
(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..

Ungeandika post yako then ukaisoma vizuri kwa tafakuri jadidi kabla ya kupost usigepost kama we ni unaetumia akili. Lakini wee maskini ya Mungu... You are very far from where the wisdom is.TBC siyo peace tv wala TV Imaan..waende huko kama wanatamani hayo mavazi...watuondolee udini wao mashetwani hao...hata TVZ wanaweza kuhamia huko...don't bother us
Mkuki kwa Nguruwe hakuna shida which means Islamic way of Banking and Islamic way of TBC broadcasting.(NIMEIKUTA SEHEMU HII MWENYE UHAKIKA ATUJULISHE ZAIDI)
TAFADHALI KWA WAISLAM NA WAPENDA HAKI TUFUATILIE HILI KUJUA UHALISIA WAKE.
Kuna taarifa kua watangazaji wa kike Waislam wa TBC TV wamegoma baada ya uongozi kuwataka kuvua hijab wanapotangaza.
Ieleweke ya kuwa wengi wao hupenda kuvaa hijab hususan katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani. Taarifa zinadai kesho asubuhi kuna kikao kujua hatma yao.
TBC TV ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zinazotokana na wananchi wa Tanzania ambao Waislam ni sehemu ya walipa kodi.
Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
Wewe hapo ulipo umejisitiri kwa hijabu?...Ikithibiti hivyo itaonesha ni namna gani nchi zetu zinakoelekea, asiyejisitiri anaheshimika na anaejisitiri anatakiwa kuvua sitara yake..
Hayo majani ya mgomba,ndio yamearishwa kwenye kitabu chao cha dini?Kosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?
Hayo majani ya mgomba,ndio yameamrishwa kwenye kitabu chao cha dini,wavae?Kosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?