ngome urasa
Senior Member
- May 27, 2016
- 105
- 35
Kama mtangazaji akiwa open si ndio vizur aonekane kwa watazamaji wake badala kujizungushia hizo hijab? Kwan pale mskitini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hijabu ni vazi la heshima, labda walikuwa wanashauri tu
Kama mtangazaji akiwa open si ndio vizur aonekane kwa watazamaji wake badala kujizungushia hizo hijab? Kwan pale mskitini?
Kweli kabisa.Huwa nawashangaa sana hawa waislamu ambao ikifika mwezi mtukufu ndio wanajidai wanashika dini na kutaka kila mtu anataka awaone wao kuwa ni waislam. Huu ni ushenzi wa hali ya juu, kama wewe ni mwislamu kweli mbna usiuonyeshe uislamu wako siku zote? Ni unafki mbele za allah, wakatazwe kabisa kuvaa na ikiwezekana wafukuzwe kazi
Funguza dharau mkuu haisaidii kituHuwa nawashangaa sana hawa waislamu ambao ikifika mwezi mtukufu ndio wanajidai wanashika dini na kutaka kila mtu anataka awaone wao kuwa ni waislam. Huu ni ushenzi wa hali ya juu, kama wewe ni mwislamu kweli mbna usiuonyeshe uislamu wako siku zote? Ni unafki mbele za allah, wakatazwe kabisa kuvaa na ikiwezekana wafukuzwe kazi
Ofcourse kwy airport ni risk sana kuvaa hayo mavazi hasa kwa wafanyakazi,wanaweza kutumika kupitisha vitu vya hatari,wizi nk Hata wale air hosters wa Qatar hawavai izo mahijab wana sketi flan ndefu na kitambaa cha kiaina wkt shirika lenyewe linamilikiwa na waasisi wa uislam,nyie mbululaz mlioletewa na mkoloni sultan bin said ndio mnauchungu kuliko wao! Ok wafukuzwe kazi waajiriwe watu wanaojua kutofautisha kati tv imaan na tbc.Nadhani pia watakua wamesomea ivi vyuo vya div five!Na ukiangalia hijab za siku izi ni shida tupu mipango nje nje alafu zinateleza kinoma,sasa pata picture apo.Hii nilikuwa nasikia tu kuna ndugu yangu anafanya kazi pale Airport Terminal 1 alikuwa kwenye training tu na kafanya vizuri na wamemkubali,ila sharti asivae hijabu aende kichwa wazi na miguo ya mapaja nje ,hii ni Tanzania nchi inaendeshwa na Taasisi fulani tu,
waislamu wanapopiga kelele kuhusu kubaguliwa kwao na serikali hii kuna watu wanaziba masikio lakini wanaujua ukweli
Uvumilivu jambo jema sana.. Mbona ikifika mwisho wa mwaka baadhi ya ofisi za umma zinawekwa maua ya imani fulani kwani pale kanisaniKama mtangazaji akiwa open si ndio vizur aonekane kwa watazamaji wake badala kujizungushia hizo hijab? Kwan pale mskitini?
Njoon Lindi huku muone wadada na hijabu zao wapo bar na bia zao zinashuka tartiiibu...wakati iman yake na vazi lake vinamkataza kukaa bar.[/QUOTE
Nimeiona pia mbeya hiyo town kabisa pale!Jamaa flan na kanzu zao wanagonga kitwanga maisha yanaenda.Ni kawaida
Hahahaa lazima utakua umesoma MUM wewe!Km hawataki wakae pembembeni watu wenye shida ya kazi waajiriwe,simple and clear.Jesca mkubwa wewe, hapo unaona umeandika cha maana? Hivi lini mnapangiwa vyuo vya size yenu?
Mzito Kabwela hapo umenena barabara.
ISLAM IS MY DIIN
ISLAM MEANS PEACE AND NOT TERRORISM.
I LOVE ISLAM DIIN FOREVER AND EVER.
Mzito Kabwela hapo umenena barabara.
ISLAM IS MY DIIN
ISLAM MEANS PEACE AND NOT TERRORISM.
I LOVE ISLAM DIIN FOREVER AND EVER.
Afrika na nchi kama Tanzania. Watu wake watakuwa huru na wenye kupiga hatua za kimaendeleo, kuwa na maisha bora na kuwa na watu wenye furaha ktk ulimwengu huu siku
Watakapo acha vitu hivi vitatu
1. Ujinga
2. Ubaguzi
3. Ubinafsi
Wewe mjinga na mpuuzi acha kumhusisha Yesu katika majadiliano yenu.Kosa lipi kwani upo kwenye nyumba/ maadili ya dini? Kesho na walokole wakija na kuvaa majani ya migomba kuwa wameagizwa na "yesu" itakuwaje?
Wamesha pata sababu mbona siku zote tunawaona vichwa wazi wasidanye watu kwamba wao ndo washika dini
Huko ni Misri sie twazungumza Tanzania yetu
I LOVE HIJAB AND I LOVE ALL MUSLIMS POPULATION IN THE WORLDWIDE.
Maamuzi ya MTU, kumbuka kuna Uhuru Wa kuabudu pia kuna haki za binadam , unavyo uliza hivyo unamaanisha nini ?Kwanini wajifanye kuvaa siku za mfungo tu? Kwanini wasivae siku ZOTE?
Najuwa we sio mtafiti ndio sababu unachangia hivyo polisi Wa somalia Wanawake wanavaa hijabu , so usikalili kilakitu ukilaza uwoMavazi ya kidini yavaliwe huko huko kwenye dini zenu.
Mwishoni na wanajeshi watataka uniform za kidini