GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu.
Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa Viongozi wa Serikali au wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) hasa pale 'Wakiteuliwa' mngeitumia Kuibua mambo ya Kimsongi kwa Wasikilizaji wenu mngekuwa na Faida kubwa sana.
Leo Asubuhi Watangazaji wa Kipindi hiki ( hicho ) kuanzia Mtani wangu wa Kihaya David Rwenyagira SIMTANK 1000Ltrs, Charles William na Yule Haji Manara wao ( Zungu ) wametumia karibia dakika 30 'Kumsifia' tu Katibu Mkuu mpya wa CCM Ndugu Chongolo kitu ambacho kiukweli 'Kimetuboa' Watu Makini wengi tusiopenda Upuuzi na Ushamba katika Taaluma.
Na hata Mtangazaji wenu mwingine Daud Hillary ( Zembwela Ndimu ) nae ana haka 'Kautamaduni' na nahisi leo Asubuhi angekuwepo 'Kipindini' basi angesifu mpaka hata angeomba kwenda Kumlamba Miguu yake.
Mtani wangu David Rwenyagira na huyo Dogo Charles William mlipokuwa East Africa Radio mlikuwa very Critical and Objective katika 'Uwasilishaji' wenu ila sijui ni nini kimekumba na kuwabadilisheni huko mliko sasa.
Halafu kuna 'Sumu' moja mbaya mno nimeiona taratibu inaanza 'Kukolea' hapo Wasafi FM Radio hasa ya kuonyesha wazi wazi kuwa nyie ni typical Pro Government and Pro CCM huku 'Content' nyingi za kuhusu Upinzani na Wapinzani nchini mkiwa 'mnaziwasilisha' katika hali ya Unafiki na Kebehi fulani hivi.
Na hapa GENTAMYCINE wala sisemi kuwa kama Serikali ( kupitia Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ) na Chama chake Tawala ( CCM ) kikiwa kimefanya Jambo very positive msiwasifie ila itapendeza mkiwa fair kwa Kufanya hivyo hata kwa Wanasiasa Wapinzani na Vyama vyao pia kwakuwa Audience ya Wasafi FM Radio siyo tu Rais Mheshimiwa Mama Samia na wana CCM tu pekee bali wapo ( tupo ) hata Sisi tulio 'Neutral' na Wafuatiliaji wa Masuala Mtambuka ( Current Affairs ) za ndani na nje ya Tanzania.
Kilichonishtua sana na Kunisikitisha mno tu ni kwamba Watangazaji wote hawa ( hao ) waliokuwa 'Wakijikomba' hivyo ni wa 'Kiume' na sijajua kwa Watoto wa Kiume ' Kujikomba' vile kwa Mwanaume Mmoja tu Katibu Mkuu mpya wa CCM wanamtaka nini Baba wa Watu.
Radio yenu ni nzuri sana na ina Watangazaji wazuri, makini na wenye 'Mvuto' pia ila GENTAMYCINE nawaomba badilikeni ili 'tuwapendeni' zaidi. Na mkiona hadi leo 'nimewasilibeni' hivi jueni kuwa nawapenda na kuwakubali halafu sijataka 'Unafki' wa kuwaficheni katika kuwapeni huu ukweli ili 'mjisahihishe' kwa faida ya Sisi Wasikilizaji wenu.
Naamini tu 'Dozi' yangu hii itawabadili!!!