Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

Umeshajjuliza ni kwanini Media za Kenya, Uganda na South Africa hazina huu 'Upuuzi' Mkuu?

Kwani hao Waandishi wa Habari wa hizi nchi mfano tajwa hapa wao hawana Familia?...
Wewe jiulize asilimia ngapi ya wanahabari wetu kweli wamesomea hiyo taaluma? Utakuta ni 2 to 5% labda, wengine wote ni basi tu wako hapo kwa bahati mbaya. Huwezi kuzuia kujikomba na upuuzi wote kwa watu wa hivyo.
 
Jamaa umerudi?
Mbona nyarandu karudi chamani?
Slaa alirudi pia!
NB: HAO WATANGAZAJI WANA FAMILIA ,ZINAHITAJI MATUNZO
Utoto huo ukijua biashara ya sauti walaji wako wako makundi mawili jitahidi usije kuwa BIASED
 
Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu...
Kumbe unaisikiliza kupata habari, basi habari zenyewe ndizo hizo.
 
Siku hizi hakuna waandishi kuna wasaka teuzi wakina Baba levo ndo waandishi siku hizi unategemea nini mkuu?
Yule siyo mwandishi bari ni mbwabwaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hayupo hata kwenye kundi la mapresenter anyway haya ni maamuzi ya mwenye media
 
Mkuu kweli una muda. Hili la watangazaji nadhani badala wa walimu kuundiwa tume ya kuangalia ubora nadhani ingeundwa Tume ya ithibati ya waandishi.

Tunahitaji zaidi proffessional journalists waingie kwenye hii tasnia. Tuna vijana wanagraduate wengi lakini hawapewi nafasi wanakuja kupewa impossible walishindwa kwenye fani zao wachekeshaji, wasanii wa muziki, wakina lokole etc.

Lakini cha msingi ni maslahi ya waandishi wa habari ni lazima yaongezwe ili industry iwe serious. Marehemu Ruge ndio alianza kunyanyua vipaji vya vijana kwa kuwapa platform ili hali hawajasomea lakini alijitahidi waliomsikia walikwenda kusoma wakapata na shahada kama kina Fetty, PJ etc

Mwisho wa siku hawa wengi hawataweza kukua kuwa level za kina Larry King, au Mo abudu au Jeff Koinange sababu ya substance ndogo kichwani. Elimu ni muhimu sana kwenye media . Juzi yuke binti Kija anamuhoji nyalandu hawezi kwenda straight to the point pale inabidi watafute replacement.
 
Sisi wakongwe tumezoea ladha zach kina Jenerali Ulimwengu hawa wa siku hizi in Madj tu.Uandishi wa habari in taaluma adhimu katika maendeleo ya jamii yeyote ile. Ndio maana wengine wanaita mhimili wa nne wa dola. Kuna watu wanakufa na vipaji vyao kutokana na hofu na ulimbukeni. Mama Samia ameeleza msingi wa yeye kujiunga na siasa chanzo ni majibu ya hovyo hovyo ya Mawaziri kwenye baraza la wawakilishi,waandishi wanapaswa wamjue kuwa ni mtu wa aina gani. Maana unaweza kujikomba kwa mtu asiye wa type hiyo.
 

Sasa hao wapinzani kuna mambo gani wameifanyia nchi hadi nao wapongezwe? Obvious kama kuna jambo zuri wamefanya hao wapinzani lazima aatapongezwa maana media zipo nyingi tu hapa nchini siyo lazima iwe Wasafi tu! Lakini ukiona hakuna hata media moja inawapongeza hao upinzani basi ujue hawana kitu! Kwa hiyo hisia zako usizilazimishe kwao maana kwanza ni uzalendo kwa nchi yao ambayo inaongozwa na CCM kwa sasa! Jaribu kuanzisha stesheni yako ili uwe unaiponda CCM na serikali yake, siyo kuwapangia hao Wasafi FM. Ukishindwa hamia huko huko!
 
Pumbavu.
 
Hili la Slaa kurudi, ni lini alirudi Sisiem na kujitangaza?

Ninavyokumbuka wakati anajiondoa Cdm alisema kuwa atabaki kuwa 'neutral'.
Ukiona mtu yuko katikati jua kabisa "Kuna jambo anaficha"
Hata mashoga wengi hawaweki wazi details za mahusiano yao
 
INAWAONDOLEA CREDIBILITY SANA KWAO KAMA HAWAJUI, INABIDI WASIMAMIE WELEDI WAO MAMBO YA KUSIFIA ILI UPATE TEUZI EEEEEEEE HUO NI USHAMBA
 
hasa hasa lile tipwa tipwa na kale ka mswaki
 
Kulee barafuni mapua 1 alituambia watu wa aina hii vina7 ndio vinawasumbua yaani wana elements za kichawi. Aliyasema hayo wakati akimtoa show jamaa kutoka nchi ya Mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…