cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewee??Juma lokole&Co ltd mtangazaji hapo unategemea nini?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewee??Juma lokole&Co ltd mtangazaji hapo unategemea nini?
Ova
Ndugu Pascal Mayalla hivi siku hizi taaluma ya utangazaji inachukuliwaje? Ni nani anayetoa leseni kwa watangazaji na huwa anaangalia kigezo gani? Nakumbuka zamani kazi ya utangazaji ilikuwa inaheshimika sana.Habari wanaJF?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya kupungua usahihi wa taarifa na ubora wa watangazaji. Sote ni mashahidi jinsi Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na Voice of Kenya (VoK) zilivyokuwa na watangazaji nguli ambao huchoki kuwasikiliza.
Watangazaji wengi wa redio na TV zinazochipukia kama uyoga hapa nchini wanakera mno kwa utangazaji wa ovyo na unaokosa weledi. Ukisikiliza redio na kutazama TV, hasa hizi zinazoitwa Redio/TV za Kijamii, utahisi kichefuchefu na huwezi kuendelea kusikiliza kwa zaidi ya dakika 5! Wanachotangaza ni zaidi ya utumbo. Na kibaya zaidi, hawa makanjanja hawakupitia kabisa kwenye vyuo vya uandishi wa habari. Inasikitisha mtangazaji kutoongea Kiswahili fasaha unabaki unajiuliza: hivi huyu mtu alienda shule kweli au ameokotwa jalalani? Na kama alienda shule, je, huko alienda kujifunza ujinga au maarifa? (FaizaFoxy, 2015). Yaani hawa viumbe hawawezi kabisa kujieleza kwa Kiswahili na Kingereza fasaha.
Zamani haikuwa rahisi mtu yeyote kujipenyeza kwenye utangazaji ikiwa hajui Kiswahili na Kiingereza fasaha. Na si hilo tu, mtangazaji anatakiwa kuwa na uhakika wa jambo analolitangaza. Juzi nilipata hasira sana niliposikia mtangazaji wa mpira akiutangazia umma kuwa mmiliki wa sasa wa Klabu ya Chelsea ni Roman Abramovich. Wanajiropokea tu ilmradi tonge liingie kinywani.
Utakuta mtu ana lafudhi mbovu na uelewa mdogo kama mbegu ya hardali lakini bado anang’ang’ania kuwa mtangazaji. Ni aibu kubwa. Yaani pale inapotaikiwa kuweka “r”, yeye anapachika “l”, kwa mfano mpira anatamka mpila. Ni aibu iliyoje! Na pia ni wazuri sana kwenye upotoshaji kwa mfano neno wimbo, hutamka nyimbo……..mfano: Leo nawachezea nyimbo moja ya Diamond inayoitwa Kantangaze. Ovyo kabisa!
Kwa ujumla, nchi hii ina watangazaji wenye uelewa finyu na upeo mdogo wa utangazaji. Natoa wito kwa serikali na vyombo vinavyohusika kudhibiti maudhui ya vyombo vya habari kufanya kazi yao kikamilifu ili kuzuia upotoshaji huu unaofanywa na baadhi ya watangazi makanjanja. Aidha, kiwango cha elimu na weledi wa mtu anayefaa kuwa mtangazaji kipitiwe upya. Watangazaji wasiokidhi vigezo wachujwe na kutupwa nje ya ulingo wa utangazaji. Tumechoshwa na upotoshaji.
View attachment 2628193
Hahahaha! Unakumbuka wale waandishi wa TBC walioripoti kuwa Trump amempongeza Magufuli? Walipewa adhabu na Dr Ayubu Ryoba (Mkurugenzi); baadaye wakayeyushayeyusha mambo yakaishia hewani. Watu wa vyumba vya habari hawako makini kama walivyokuwa makini wanahabari wa BBC, DW na redio nyingine za nje. Huwezi kuwasikia wakitangaza ujinga hata siku moja.Tanzania haijawahi kuwa na waandishi wa habari bali ni makanjanja na wababaishaji,wavivu wa kufikiri na kutafiti.
Mwandishi wa habari anatakiwa awe mtafiti na mfuatiliaji wa Mambo kiujumla,ili awe anaibua na kuufahamisha umma usioyafahamu na sio umma ndiyo umfahamishe!
Kuna vituko vingi vimejiri kiasi Cha kujiuliza hawa waandishi huwa wanajipa muda wa kujiridhisha kabla ya kuandika habari ?
Nakumbuka 2003 walimuandika Ammy Ninje anacheza ligi daraja la pili Uingereza nilikuwa nikiangalia sky nacheka Sana!
Sahv ili uwe mtangazaji hakuhitaji uwe umesomea...Ndugu Pascal Mayalla hivi siku hizi taaluma ya utangazaji inachukuliwaje? Ni nani anayetoa leseni kwa watangazaji na huwa anaangalia kigezo gani? Nakumbuka zamani kazi ya utangazaji ilikuwa inaheshimika sana.
Halafu media nyingi sasa hivi wanachezesha tu kamari. Kila media ina namba ya kucheza kamari. Wanataka kuigeuza nchi kuwa taifa la wacheza kamari (Tanbet).Sahv ili uwe mtangazaji hakuhitaji uwe umesomea...
Media nyingi sahv kwanza habari zao ni udaku,michezo,miziki na maujingujing tu
Ova
Nakupa jtano Kwa hili.Habari wanaJF?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya kupungua usahihi wa taarifa na ubora wa watangazaji. Sote ni mashahidi jinsi Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na Voice of Kenya (VoK) zilivyokuwa na watangazaji nguli ambao huchoki kuwasikiliza.
Watangazaji wengi wa redio na TV zinazochipukia kama uyoga hapa nchini wanakera mno kwa utangazaji wa ovyo na unaokosa weledi. Ukisikiliza redio na kutazama TV, hasa hizi zinazoitwa Redio/TV za Kijamii, utahisi kichefuchefu na huwezi kuendelea kusikiliza kwa zaidi ya dakika 5! Wanachotangaza ni zaidi ya utumbo. Na kibaya zaidi, hawa makanjanja hawakupitia kabisa kwenye vyuo vya uandishi wa habari. Inasikitisha mtangazaji kutoongea Kiswahili fasaha unabaki unajiuliza: hivi huyu mtu alienda shule kweli au ameokotwa jalalani? Na kama alienda shule, je, huko alienda kujifunza ujinga au maarifa? (FaizaFoxy, 2015). Yaani hawa viumbe hawawezi kabisa kujieleza kwa Kiswahili na Kingereza fasaha.
Zamani haikuwa rahisi mtu yeyote kujipenyeza kwenye utangazaji ikiwa hajui Kiswahili na Kiingereza fasaha. Na si hilo tu, mtangazaji anatakiwa kuwa na uhakika wa jambo analolitangaza. Juzi nilipata hasira sana niliposikia mtangazaji wa mpira akiutangazia umma kuwa mmiliki wa sasa wa Klabu ya Chelsea ni Roman Abramovich. Wanajiropokea tu ilmradi tonge liingie kinywani.
Utakuta mtu ana lafudhi mbovu na uelewa mdogo kama mbegu ya hardali lakini bado anang’ang’ania kuwa mtangazaji. Ni aibu kubwa. Yaani pale inapotaikiwa kuweka “r”, yeye anapachika “l”, kwa mfano mpira anatamka mpila. Ni aibu iliyoje! Na pia ni wazuri sana kwenye upotoshaji kwa mfano neno wimbo, hutamka nyimbo……..mfano: Leo nawachezea nyimbo moja ya Diamond inayoitwa Kantangaze. Ovyo kabisa!
Kwa ujumla, nchi hii ina watangazaji wenye uelewa finyu na upeo mdogo wa utangazaji. Natoa wito kwa serikali na vyombo vinavyohusika kudhibiti maudhui ya vyombo vya habari kufanya kazi yao kikamilifu ili kuzuia upotoshaji huu unaofanywa na baadhi ya watangazi makanjanja. Aidha, kiwango cha elimu na weledi wa mtu anayefaa kuwa mtangazaji kipitiwe upya. Watangazaji wasiokidhi vigezo wachujwe na kutupwa nje ya ulingo wa utangazaji. Tumechoshwa na upotoshaji.
View attachment 2628193
Hawa jamaa wako anga zingine kabisa. Taarifa zao zimejitosheleza. Sisi tunawategemea akina Mwijaku na Juma Lokole kututafutia habari unategemea utapata nini zaidi ya mataputapu?Karibu CNN, Aljazeera, BBC,fox news,NHK Japan,Nat Geo, discovery science. Hutajuta rafiki utstsmani utoroke kazini au kwenye shughuli Yako uwahi nyumbani
Nina uhakika mkuu. Nimefanya utafiti wangu na kupata conclusion. Wewe fuatilia hali ya utangazaji wa sasa ulinganishe na enzi zile za RTD na VoK utaona kuna tofauti kubwa sana.Naam ni dunia kwa ujumla
Una Uhakika !!!!
Na sio kwamba vyanzo vimeongezeka na watu kutumia simu / gadgets zao kupata news / video on demand ?
Zamani kama unataka kujua matokeo ya mpira huko vijijini na wewe upo mjini ni kusubiri kipindi cha michezo (nina uhakika kipindi hicho hata ungepata mtu wa kukupigia redio call hata kama angekuwa na kigugumizi ungeweza kumsikiliza hata kama angekuwa anatoa neno moja kwa dakika ishirini....)
Just calling it..., as it is....
Naunga mkono hoja.. unaweza sikiliza kipindi hakuna cha maana unachopata zaidi ya majibizano tuHabari wanaJF?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya kupungua usahihi wa taarifa na ubora wa watangazaji. Sote ni mashahidi jinsi Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na Voice of Kenya (VoK) zilivyokuwa na watangazaji nguli ambao huchoki kuwasikiliza.
Watangazaji wengi wa redio na TV zinazochipukia kama uyoga hapa nchini wanakera mno kwa utangazaji wa ovyo na unaokosa weledi. Ukisikiliza redio na kutazama TV, hasa hizi zinazoitwa Redio/TV za Kijamii, utahisi kichefuchefu na huwezi kuendelea kusikiliza kwa zaidi ya dakika 5! Wanachotangaza ni zaidi ya utumbo. Na kibaya zaidi, hawa makanjanja hawakupitia kabisa kwenye vyuo vya uandishi wa habari. Inasikitisha mtangazaji kutoongea Kiswahili fasaha unabaki unajiuliza: hivi huyu mtu alienda shule kweli au ameokotwa jalalani? Na kama alienda shule, je, huko alienda kujifunza ujinga au maarifa? (FaizaFoxy, 2015). Yaani hawa viumbe hawawezi kabisa kujieleza kwa Kiswahili na Kingereza fasaha.
Zamani haikuwa rahisi mtu yeyote kujipenyeza kwenye utangazaji ikiwa hajui Kiswahili na Kiingereza fasaha. Na si hilo tu, mtangazaji anatakiwa kuwa na uhakika wa jambo analolitangaza. Juzi nilipata hasira sana niliposikia mtangazaji wa mpira akiutangazia umma kuwa mmiliki wa sasa wa Klabu ya Chelsea ni Roman Abramovich. Wanajiropokea tu ilmradi tonge liingie kinywani.
Utakuta mtu ana lafudhi mbovu na uelewa mdogo kama mbegu ya hardali lakini bado anang’ang’ania kuwa mtangazaji. Ni aibu kubwa. Yaani pale inapotaikiwa kuweka “r”, yeye anapachika “l”, kwa mfano mpira anatamka mpila. Ni aibu iliyoje! Na pia ni wazuri sana kwenye upotoshaji kwa mfano neno wimbo, hutamka nyimbo……..mfano: Leo nawachezea nyimbo moja ya Diamond inayoitwa Kantangaze. Ovyo kabisa!
Kwa ujumla, nchi hii ina watangazaji wenye uelewa finyu na upeo mdogo wa utangazaji. Natoa wito kwa serikali na vyombo vinavyohusika kudhibiti maudhui ya vyombo vya habari kufanya kazi yao kikamilifu ili kuzuia upotoshaji huu unaofanywa na baadhi ya watangazi makanjanja. Aidha, kiwango cha elimu na weledi wa mtu anayefaa kuwa mtangazaji kipitiwe upya. Watangazaji wasiokidhi vigezo wachujwe na kutupwa nje ya ulingo wa utangazaji. Tumechoshwa na upotoshaji.
View attachment 2628193
Unaweza kunipa trend ya usomaji wa magazeti wa sasa na kabla ? Apart from wale wanaonunua kucheki tender au government notices au kuwa na proof ya kitu fulani ni wangapi wanasoma ? Ni kampuni ngapi za magazeti zimekufa kifo cha kawaida (Habari Corporations and the likes na pamoja na mengine kuamia full mtandaoni and still with less audiences)Nina uhakika mkuu. Nimefanya utafiti wangu na kupata conclusion. Wewe fuatilia hali ya utangazaji wa sasa ulinganishe na enzi zile za RTD na VoK utaona kuna tofauti kubwa sana.
Kama unasema siku hizi watu wanapata taarifa kwenye gadgets zao kwa haraka kuliko kwenye redio/TV kwanini watu wananunua magazeti? Ni kwa sababu magazeti yanaandikwa kiuweledi zaidi ukilinganisha na utangazaji wa TV na redio.