Watangazaji wa TBC wanachekesha kama sio Ndugu zako

UKIWAANGALIA WATANGAZAJI WA TBC UNAONA KAMA WANAFANYA COMEDY YA KUSIFU NA KUABUDU. Yaan wanaongea vitu vile vile kila siku wao ni watu wa makongamano, dira ya 2050 na Bwawa la Mwl Nyerere. Full sanaa
Wale ni misukule ya watu 🚮
tbc
 
Kuna watu bado mkaa chini na Ku tune TBC kabisa? Aisee ni muda Sana sijawahi kuangalia hio Station, Mnashangaza Sana Ndugu zangu mnatoa wapi hio muda wa kuweka TBC?
 
Hata wewe unayekaa sebuleni kwako unaweka TBC na kutazama sio bure.... kuna shida pahala
 
Hivi kuna watu bado wanaangalia TBC?

Media za Tanzania hazina vitu vya maana
Bora wenzetu wa Kenya wanajadili mambo ya maendeleo ya nchi yao kwa uwazi bila kuogopa,
Mi naangalia Citizen TV,BBC swahili na English services from international Media,
Tanzania kwenye habari tumerudi nyuma sana,
Nakumbuka enzi za gazeti la Mwanahalisi, na debates za pale UDSM,
Tunazidi kuonekana taifa la watu wanaopelekwa na wanasiasa hatuko huru,kifikra,kisiasa na kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…