aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
TBC tunaangalia kidogo kukiwa na misiba ya kitaifa
MarobotiUKIWAANGALIA WATANGAZAJI WA TBC UNAONA KAMA WANAFANYA COMEDY YA KUSIFU NA KUABUDU. Yaan wanaongea vitu vile vile kila siku wao ni watu wa makongamano, dira ya 2050 na Bwawa la Mwl Nyerere. Full sanaa