digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
kitenge na mambo yake ya dursalaam...ndo nini!!Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua baadhi ya watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya ya vitu wakati wa usomaji.
Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini.
Swahili times
Wakala wa serikali ndiyo jukumu lake hilo? kama mtu hupendi ujinga hama stesheni stress nyingi sana ujinga unaburudisha, watuache sukari bei gani vile?Hawa nao wamekosa kazi ya kufanya!
Nchi ikiendeshwa na watawala wa hovyo, hata taasisi zake nyingi huwa za hovyoMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua baadhi ya watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya ya vitu wakati wa usomaji.
Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini.
Swahili times
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nchi imefika mahali ambapo sasa Mungu aamue kuipiga kiberiti tu
Komaa kamanda, safari ndio kwanza imeanza.Hii nchi imefika mahali ambapo sasa Mungu aamue kuipiga kiberiti tu
Sijui tulimkosea nini Mungu.Hii nchi imefika mahali ambapo sasa Mungu aamue kuipiga kiberiti tu
Chances are kuna mchepuko wa mmoja wa hao wenye vyeo TCRA kamwambia Bwana wake kuwa anakerwa na mbwembwe Bwana nae kaamua iwe sheria kutokusoma kwa mbwembwe.Kwa nini??
Tanzania kila kitu ni kituko. Mimi huwa sisikilizi hawa wasoma magazeti hata siku moja.Bora..
Imekuwa kama ujinga ujinga tu na upuuzi.
Hii ni ushahidi wa mjinga aliyekata tamaa. Jipige wewe kiberiti kama umechoka kuishi.Hii nchi imefika mahali ambapo sasa Mungu aamue kuipiga kiberiti tu
Hapana. Hawa wasomaji wanavunja miiko ya utangazaji. Ni Tanzania pekee unaweza kukuta ujinga kama huu. Hii ndiyo hasara ya kuokoteza wapiga domo mitaani na kuwafanya watangazaji. Elimu, ndogo, ufahamu mdogo, eti mtu anapewa utangazaji kwa sababu tu anajua kuzungumza kwa haraka haraka.Chances are kuna mchepuko wa mmoja wa hao wenye vyeo TCRA kamwambia Bwana wake kuwa anakerwa na mbwembwe Bwana nae kaamua iwe sheria kutokusoma kwa mbwembwe.
Sheria za nchi hii ni kwa mujibu wa utashi wa mwenye mamlaka.
[emoji848][emoji848][emoji848]Tcra nani kawaambia mahitaji ya watanzania na kero kubwa kwao ni wasoma magazeti kwa mbwembwe? Wazee wa tuma ile hela mmeshindwa kuwakomesha,bando ziko juu ila hili hamulioni bali mnaoma wasoma magazeti
Tanzania kila kitu ni kituko. Mimi huwa sisikilizi hawa wasoma magazeti hata siku moja.
Dah huwahurumii wanao..!Hii nchi imefika mahali ambapo sasa Mungu aamue kuipiga kiberiti tu