Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa sawa..Kashindwa kudhibiti mang'ombe ambayo hayasoma kujiingiza studio na kujifanya matangazaji.
Baba Levo, Mwijaku na magenge mengine ya majitu ya hovyo hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa..Kashindwa kudhibiti mang'ombe ambayo hayasoma kujiingiza studio na kujifanya matangazaji.
Baba Levo, Mwijaku na magenge mengine ya majitu ya hovyo hovyo
Hakuna sheria yoyote ya utangazaji inavunjwa waandishi kusoma magezeti kwa mbwembwe au mikogo. Pia ukiacha tabia ya kusifia watawala kulikopitiliza uandishi wa habari uliopo Tanzania hautofautiani na sehemu nyingine yoyote duniani ambako sekta ya uandishi wa habari inaongozwa na mahitaji ya soko huria.Hapana. Hawa wasomaji wanavunja miiko ya utangazaji. Ni Tanzania pekee unaweza kukuta ujinga kama huu. Hii ndiyo hasara ya kuokoteza wapiga domo mitaani na kuwafanya watangazaji. Elumi, ndogo, ufahamu mdogo, eti mtu anapewa utangazaji kwa sababu tu anajua kuzungumza kwa haraka haraka.
Kwanza hard news ni nadra sana katika magezeti karibia yote ya sasa ya bongo, pia ukiona kampuni za magazeti wako kimya kutokana na magezeti yao kutumika redioni ujue hilo ni suala lenye manufaa zaidi kwa kuliko hasara. Kama wangekuwa hawataka magezeti yao kutumika hivyo wangeshaenda mahakamani au kulalamima kwa TCRA au Waziri.Jamaa ni wapuuzi sana yani..
Huwa inatokea mazingira sometimes unakuta redio wapo wao.. Ni aibu..
Yani watu wanatumia resources zao na muda.. Wana risks wakati mwingine maisha ili kusaka habari.. Wanazichapisha na kusambaza magazeti kwa gharama halafu mtu tu studio anasoma gazeti kama nini sijui.. Wapuuzi..
Hawa wamecheleweshwa tuu.. Mimi ningekuwa naandika magazeti au najihusisha huko ningewashitaki mapema tu kabla ya hao TCRA hawajawafikia... Wanacheza na kazi za watu kabisa live live for their own benefit and gain...
Kwa usomaji wao ule gazeti linapoteza thamani.. Hata kama ni hard news inageuka kuwa satire tu... Hovyo sanaa
Sio na haipaswi kuwa kazi ya TCRA kushughulika na kelele au fujo za redioni.Maana Kuna Wengi Wamezidisha Kupiga Kelele Na Fujo.
Hao TCRA wamekosa chakufanya kabisaKwanza hard news ni nadra sana katika magezeti karibia yote ya sasa ya bongo, pia ukiona kampuni za magazeti wako kimya kutokana na magezeti yao kutumika redioni ujue hilo ni suala lenye manufaa zaidi kwa kuliko hasara. Kama wangekuwa hawataka magezeti yao kutumika hivyo wangeshaenda mahakamani au kulalamima kwa TCRA au Waziri.
Kwanza hard news ni nadra sana katika magezeti karibia yote ya sasa ya bongo, pia ukiona kampuni za magazeti wako kimya kutokana na magezeti yao kutumika redioni ujue hilo ni suala lenye manufaa zaidi kwa kuliko hasara. Kama wangekuwa hawataka magezeti yao kutumika hivyo wangeshaenda mahakamani au kulalamima kwa TCRA au Waziri.
Jana ameonywa Sana juu ya kuingilia siasa za akina makonda Acha anyooshwe shingoHapo anawindwa Kitenge baada ya ile post yake...
Muhimu: sheria ya utangazaji siyo sawa na miiko ya utangazaji na miiko siyo sheria. Utangazaji wa Bongo ni wa kiwango cha chini mno mno kiasi ambacho naweza kusema siyo utangazaji bali ni upiga porojo na udalali. Anyways, hili siyo kila mtu anaweza kuliona ndiyo maana bado wasikilizaji ni wengi. Umewahi kumsikiliza Masoud Masoud? Basi huyu ndiye mmoja ya watangazaji ambao naweza kuwasikiliza. Kitenge sijui na kina Zembwela katu siwezi.Hakuna sheria yoyote ya utangazaji inavunjwa waandishi kusoma magezeti kwa mbwembwe au mikogo. Pia ukiacha tabia ya kusifia watawala kulikopitiliza uandishi wa habari uliopo Tanzania hautofautiani na sehemu nyingine yoyote duniani ambako sekta ya uandishi wa habari inaongozwa na mahitaji ya soko huria.
Nakubaliana na wewe kwamba utangazaji wa bongo uko chini sana hasa kwa kuzinagatia maslahi na mahitaji mapana ya taifa lakini hao wakina Zembwela, Kitenge, Mwijaku n.k hakuna sheria au miiko yoyote wanayovunja kwa aina yao ya utangazaji. Ni kwamba haina tija kubwa tu.Muhimu: sheria ya utangazaji siyo sawa na miiko ya utangazaji na miiko siyo sheria. Utangazaji wa Bongo ni wa kiwango cha chini mno mno kiasi ambacho naweza kusema siyo utangazaji bali ni upiga porojo na udalali. Anyways, hili siyo kila mtu anaweza kuliona ndiyo maana bado wasikilizaji ni wengi. Umewahi kumsikiliza Masoud Masoud? Basi huyu ndiye mmoja ya watangazaji ambao naweza kuwasikiliza. Kitenge sijui na kina Zembwela katu siwezi.