Watangazaji wengi wa radio hawajui kingereza

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.
 
...tujivunie lugha yetu ya Taifa!

"radio za nje watangazaji wao wanaongea KISWAHILI VIZURI NA FASAHA, kuliko watangazaji wa radio za hapa nchi..."

cc: BBC Swahili.
 
Radio za kiswahili Hawatakiwi kuzungumza kingereza...

hivyo hujengi. Kingereza ni lugha ya dunia. Wanapaswa kuijua hasa kutokana na taaluma yao. Au ndio yale mgeni asiyejua kiswahili kuja studio na mtangazaji kupisha ili aje anayejua kuhoji kwa kingereza? Duh, hii ni reply kwa Ulukolokwitanga
 
Last edited by a moderator:
hivyo hujengi. Kingereza ni lugha ya dunia. Wanapaswa kuijua hasa kutokana na taaluma yao. Au ndio yale mgeni asiyejua kiswahili kuja studio na mtangazaji kupisha ili aje anayejua kuhoji kwa kingereza? Duh, hii ni reply kwa Ulukolokwitanga

Kiingereza ni second language kwetu, wapo wanaojua sana na wapo wanaobabia babia lakini hutakiwi kuwabeza kwa vile sio lugha yao ya asili. Ila kama ni watangazaji wa kipindi kinachorushwa kwa lugha ya kiingereza wanachemsha hapo ndio iko shida, lakini sio nongwa
 
kama hawezi lugha ya watu apige kimya kuliko kuchapia mbele ya umma
 
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.

Ni aibu kwa mtangazaji wa idhaa ya kiswahili kutojua kiingereza? Kama kweli akili yako inaamini hivyo basi wewe ni mjing3 wa wajing3
 
Ni upumbafu radio ya kiswahili unajipapatua kujifanya unaongea kiingereza
 
Ni aibu kwa mtangazaji wa idhaa ya kiswahili kutojua kiingereza? Kama kweli akili yako inaamini hivyo basi wewe ni mjing3 wa wajing3

na ww ni mtangazaji? I didnt mean to disrespect. Wajifunz matamshi ya lugha za watu. Sio 'greit' unatamka griti. Yuko na yule jamaa wa star times anachafua kingereza cha watu. Eti star taimsi, star goldi, star plasi. Uchafu huo
 
Nadhani nikukosa kujiamini tu maana kwa radio za Kibongo wasikilizaji wao zaidi ya 90+ kiingereza kwao ni msamiati sasa kuna haja gani kwa mtangazaji kuhangaika na Kikoloni???

Huwa nawashangaa pia watangazaji wanaokimbia studio kisa kaja mgeni anaongea kikoloni kinachotakiwa ni kutafuta tu mkalimani ti ili angalau na wasikilizaji wasiojua kikoloni nao waelewe kinachoongelewa
 
Muone kwanza ,utumwa huu sijui mpaka lini..mbona watangazaji wakizungu hawajui kiswahili alafu umekaa kimya? Au ulikuwa hujui hilo?

ukiwa na uporo huo kichwani utakosa mengi. Hao wazungu hawana cha kupoteza. Pia hujui maana ya added advantage wewe
 
jamaa kiingereza cha nini? sisi wasikilizaji hatujui kiingereza sasa wao wakiongea kiingereza biashara itakuwepo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…