Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Ishu si kuongea kingereza,
bali kujua kingereza kwa ufasaha. Wapo ambao husema maneno ya kingereza
redioni wakajikuta wanachemka vibaya. Ni bora wabaki kwenye kiswahili
mwanzo mwosho kama lugha za watu hawazijui vizuri
Basi inabidi waajiri wawahimize watangazaji kuacha kutumia kiingereza na badala yake wawe wanaongea Kiswahili tu bila kuchanganya na lugha wasizozijua vyema kikiwamo Kiingereza.