Watangazaji wengi wa radio hawajui kingereza

Ishu si kuongea kingereza,
bali kujua kingereza kwa ufasaha. Wapo ambao husema maneno ya kingereza
redioni wakajikuta wanachemka vibaya. Ni bora wabaki kwenye kiswahili
mwanzo mwosho kama lugha za watu hawazijui vizuri

Basi inabidi waajiri wawahimize watangazaji kuacha kutumia kiingereza na badala yake wawe wanaongea Kiswahili tu bila kuchanganya na lugha wasizozijua vyema kikiwamo Kiingereza.
 
na ww ni mtangazaji? I didnt mean to disrespect. Wajifunz matamshi ya lugha za watu. Sio 'greit' unatamka griti. Yuko na yule jamaa wa star times anachafua kingereza cha watu. Eti star taimsi, star goldi, star plasi. Uchafu huo

Blah blah blah blah, halafu umeishia kuandika greit, goldi sijui plasi, ndo nini sasa?. Sasa we mwenyewe kiingereza hujui
wakikiongea we utaelewa nini?
Kwa taarifa yako hao wazungu wenyewe hawana haja na kiingereza wakiwa kwenye nchi zao, wanakitumia wakiwa safarini tu.
 
Nakwambia Kiswahili pia hawajui! Hata tbc ya sasa ovyo! Namiss enzi za RTD!
 
Blah blah blah blah, halafu umeishia kuandika greit, goldi sijui plasi, ndo nini sasa?. Sasa we mwenyewe kiingereza hujui
wakikiongea we utaelewa nini?
Kwa taarifa yako hao wazungu wenyewe hawana haja na kiingereza wakiwa kwenye nchi zao, wanakitumia wakiwa safarini tu.
usikurupuke. Phonologically speaking ndicho nilichofanya. Hakuna option ya kuandika hapa according to dictionary. Umenielewa? Halafu hao wazungu wakiwa kwao hutumia lugha ipi?
 
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.

Kuna mtangazaji fulan wa chanel 10 alikuwa anasoma magazet ilipofika zamu ya magazeti ya kingereza yan alichemka mpaka nikawa naona mimi aibu yan kale kafupi kalipataga ajali cku zilizopita
 
usikurupuke. Phonetically speaking ndicho nilichofanya. Hakuna option ya kuandika hapa according to dictionary. Umenielewa? Halafu hao wazungu wakiwa kwao hutumia lugha ipi?

Wakiwa kwao wanatumia lugha zao, na wala watu hawahoji kwanini watangazaji hawajui kiingereza. Kiingereza kinatumika UK, Marekani na Australia tu. Nchini nyingine hawana haja nacho, wewe tu na mawazo yako ya kitumwa ndo unakiona kipimo cha maendeleo. Wasomi wengi wa Ufaransa, Italy, Russia, Japan, Ubelgiji, China nk. hawajui kiingereza kabisa.
 
Yani hata hujanielewa. Utakuwa mtangazaji wa redioni wewe. Naomba mimi na wewe tumalizie mjadala hapa
 
Wazungu ndo walivyokuaminisha hivyo nchi yetu maskini?
Huwezi kuukimbia ukweli mkuu kama ilivyo kwa kivuli chako. Taifa hili ni tegemezi, tuzungumze kilichopo tuwache kuzungumza kile tunachofikiria kifanyike. Mara ngapi tumeona interview za wageni kutoka nje zikifanywa na watangazaji mbadala na sio wale waliozoeleka kusikika ama kuonekana....tatizo ni kizungu laiti kama wangelikuwa wanajua vyema ingewaongezea umahiri katika kazi zao...
hata kama hakitumiki mara kwa mara kutokana na wasikilizaji waliopo watangazaji ni faida kubwa kama wakijua vyema kiingereza. sio lazima ukubaliane nami hayo ni mawazo yangu.
 
Blah blah blah blah, halafu umeishia kuandika greit, goldi sijui plasi, ndo nini sasa?. Sasa we mwenyewe kiingereza hujui
wakikiongea we utaelewa nini?
Kwa taarifa yako hao wazungu wenyewe hawana haja na kiingereza wakiwa kwenye nchi zao, wanakitumia wakiwa safarini tu.
sasa msafirishe huyo mtangazaji wako nje ya nchi halafu mwambie aongee kiswahili....
 
Wakiwa kwao wanatumia lugha zao, na wala watu hawahoji kwanini watangazaji hawajui kiingereza. Kiingereza kinatumika UK, Marekani na Australia tu. Nchini nyingine hawana haja nacho, wewe tu na mawazo yako ya kitumwa ndo unakiona kipimo cha maendeleo. Wasomi wengi wa Ufaransa, Italy, Russia, Japan, Ubelgiji, China nk. hawajui kiingereza kabisa.
hizo nchi ulizozitaja kama ukiiweka tanzania hapo ni doa....nakumbuka shuleni tulikua tunaulizwa maswali kama ..Kipi kati ya zifuatazo ni tofauti na nyingine..Ufaransa, Italy, TANZANIA, Russia, Japan, Ubelgiji na China...nchi yetu haifanani na daraja za nchi hizo mkuu.
 
mkuu asante kwa sapoti yako. Kuna watu bado wanaamini kuwa itikadi yetu kama taifa ni ujamaa na kujitegemea. Tumeshaambiwa sisi kama taifa wakati wenzetu wanatembea sisi tukimbie. Sasa hawa kina salamanda wanadhani mi marathon.
 
Huyu Salamander sijui katokea msitu gani..
 
Huwezi kuukimbia ukweli mkuu kama ilivyo kwa kivuli chako. Taifa hili ni tegemezi, tuzungumze kilichopo tuwache kuzungumza kile tunachofikiria kifanyike. Mara ngapi tumeona interview za wageni kutoka nje zikifanywa na watangazaji mbadala na sio wale waliozoeleka kusikika ama kuonekana....tatizo ni kizungu laiti kama wangelikuwa wanajua vyema ingewaongezea umahiri katika kazi zao...
hata kama hakitumiki mara kwa mara kutokana na wasikilizaji waliopo watangazaji ni faida kubwa kama wakijua vyema kiingereza. sio lazima ukubaliane nami hayo ni mawazo yangu.

Tuachane na huko kwenye ung'eng'e, umesema nchi yetu maskini! Nimekuuliza wazungu ndo walivyokuaminisha hvyo! Uganda wanatumia English lakini kiuchumi mbona sie tuna afadhali. Tafuta hoja nyingine ila sio kutuaminisha bila ung'eng'e hufiki popote pale!
 
Mkuu unataka mpaka mzungu akuambie kuwa Tanzania ni Masikini ndipo ukubali ?!
Umasikini wa Tanzania mbona uko uchi tu Mkuu..kwani we unaishi Tanzania ipi ndugu yangu!
 
sasa msafirishe huyo mtangazaji wako nje ya nchi halafu mwambie aongee kiswahili....

Sasa unataka kuniambia hakuna watangazaji wa kitanzania nje ya nchi? Wapo wengi tu, tena kwa taarifa yako wapo wanaotumia kiswahili katika utangazaji, mfano BBC, VOA nk. Sasa wewe kaa, na utumwa wako a kiakili unaokutuma kiingereza ndio maendeleo.
 
hizo nchi ulizozitaja kama ukiiweka tanzania hapo ni doa....nakumbuka shuleni tulikua tunaulizwa maswali kama ..Kipi kati ya zifuatazo ni tofauti na nyingine..Ufaransa, Italy, TANZANIA, Russia, Japan, Ubelgiji na China...nchi yetu haifanani na daraja za nchi hizo mkuu.

Hiyo ilikuwa shule ya kijiweni wakati mnavuta bhangi. Lakini hizo nchi hapo juu watu wake hawataki hata kujinza kiingereza.
Halafu hapa nimegundua, msiojua kiingereza ndo mnakiona kila kitu, sasa kwanini msijifunze?
 
sasa mambo ya bangi yametokea wapi ndugu yangu..umeshachoka kuwa mstaarabu mkuu..mbona mapema.
 
Sasa unataka kuniambia hakuna watangazaji wa kitanzania nje ya nchi? Wapo wengi tu, tena kwa taarifa yako wapo wanaotumia kiswahili katika utangazaji, mfano BBC, VOA nk. Sasa wewe kaa, na utumwa wako a kiakili unaokutuma kiingereza ndio maendeleo.
Sijakataa kama wapo mkuu...nawasikia sana huko BBC, VOA..kama hujui kiingereza utafanyaje kazi BBC au VOA?..
 
Back
Top Bottom