Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....
Radio za kiswahili Hawatakiwi kuzungumza kingereza...
hivyo hujengi. Kingereza ni lugha ya dunia. Wanapaswa kuijua hasa kutokana na taaluma yao. Au ndio yale mgeni asiyejua kiswahili kuja studio na mtangazaji kupisha ili aje anayejua kuhoji kwa kingereza? Duh, hii ni reply kwa Ulukolokwitanga
kama hawezi lugha ya watu apige kimya kuliko kuchapia mbele ya ummaKiingereza ni second language kwetu, wapo wanaojua sana na wapo wanaobabia babia lakini hutakiwi kuwabeza kwa vile sio lugha yao ya asili. Ila kama ni watangazaji wa kipindi kinachorushwa kwa lugha ya kiingereza wanachemsha hapo ndio iko shida, lakini sio nongwa
Kibonde
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.
Ni aibu kwa mtangazaji wa idhaa ya kiswahili kutojua kiingereza? Kama kweli akili yako inaamini hivyo basi wewe ni mjing3 wa wajing3
Muone kwanza ,utumwa huu sijui mpaka lini..mbona watangazaji wakizungu hawajui kiswahili alafu umekaa kimya? Au ulikuwa hujui hilo?
Off course sio lugha yao ya asili ni ya mkoloni. Kule uingereza na Marekani ni aibu zaidi, watangazaji karibu wote hawajui kiswahili.....