Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
Ishu si kuongea kingereza,
bali kujua kingereza kwa ufasaha. Wapo ambao husema maneno ya kingereza
redioni wakajikuta wanachemka vibaya. Ni bora wabaki kwenye kiswahili
mwanzo mwosho kama lugha za watu hawazijui vizuri
na ww ni mtangazaji? I didnt mean to disrespect. Wajifunz matamshi ya lugha za watu. Sio 'greit' unatamka griti. Yuko na yule jamaa wa star times anachafua kingereza cha watu. Eti star taimsi, star goldi, star plasi. Uchafu huo
usikurupuke. Phonologically speaking ndicho nilichofanya. Hakuna option ya kuandika hapa according to dictionary. Umenielewa? Halafu hao wazungu wakiwa kwao hutumia lugha ipi?Blah blah blah blah, halafu umeishia kuandika greit, goldi sijui plasi, ndo nini sasa?. Sasa we mwenyewe kiingereza hujui
wakikiongea we utaelewa nini?
Kwa taarifa yako hao wazungu wenyewe hawana haja na kiingereza wakiwa kwenye nchi zao, wanakitumia wakiwa safarini tu.
Huwa nawasikia. Kwa kiswahili kizuri (si fasaha) hawajambo. Tatizo huja pale wanapotamka maneno ya kingereza, ni aibu. Nashauri waajiri wawe wanatilia maanani hii lugha pia maana hao watangazaji wanaaibisha taaluma zao.
usikurupuke. Phonetically speaking ndicho nilichofanya. Hakuna option ya kuandika hapa according to dictionary. Umenielewa? Halafu hao wazungu wakiwa kwao hutumia lugha ipi?
Kibonde
Yani hata hujanielewa. Utakuwa mtangazaji wa redioni wewe. Naomba mimi na wewe tumalizie mjadala hapaWakiwa kwao wanatumia lugha zao, na wala watu hawahoji kwanini watangazaji hawajui kiingereza. Kiingereza kinatumika UK, Marekani na Australia tu. Nchini nyingine hawana haja nacho, wewe tu na mawazo yako ya kitumwa ndo unakiona kipimo cha maendeleo. Wasomi wengi wa Ufaransa, Italy, Russia, Japan, Ubelgiji, China nk. hawajui kiingereza kabisa.
Huwezi kuukimbia ukweli mkuu kama ilivyo kwa kivuli chako. Taifa hili ni tegemezi, tuzungumze kilichopo tuwache kuzungumza kile tunachofikiria kifanyike. Mara ngapi tumeona interview za wageni kutoka nje zikifanywa na watangazaji mbadala na sio wale waliozoeleka kusikika ama kuonekana....tatizo ni kizungu laiti kama wangelikuwa wanajua vyema ingewaongezea umahiri katika kazi zao...Wazungu ndo walivyokuaminisha hivyo nchi yetu maskini?
sasa msafirishe huyo mtangazaji wako nje ya nchi halafu mwambie aongee kiswahili....Blah blah blah blah, halafu umeishia kuandika greit, goldi sijui plasi, ndo nini sasa?. Sasa we mwenyewe kiingereza hujui
wakikiongea we utaelewa nini?
Kwa taarifa yako hao wazungu wenyewe hawana haja na kiingereza wakiwa kwenye nchi zao, wanakitumia wakiwa safarini tu.
hizo nchi ulizozitaja kama ukiiweka tanzania hapo ni doa....nakumbuka shuleni tulikua tunaulizwa maswali kama ..Kipi kati ya zifuatazo ni tofauti na nyingine..Ufaransa, Italy, TANZANIA, Russia, Japan, Ubelgiji na China...nchi yetu haifanani na daraja za nchi hizo mkuu.Wakiwa kwao wanatumia lugha zao, na wala watu hawahoji kwanini watangazaji hawajui kiingereza. Kiingereza kinatumika UK, Marekani na Australia tu. Nchini nyingine hawana haja nacho, wewe tu na mawazo yako ya kitumwa ndo unakiona kipimo cha maendeleo. Wasomi wengi wa Ufaransa, Italy, Russia, Japan, Ubelgiji, China nk. hawajui kiingereza kabisa.
mkuu asante kwa sapoti yako. Kuna watu bado wanaamini kuwa itikadi yetu kama taifa ni ujamaa na kujitegemea. Tumeshaambiwa sisi kama taifa wakati wenzetu wanatembea sisi tukimbie. Sasa hawa kina salamanda wanadhani mi marathon.hizo nchi ulizozitaja kama ukiiweka tanzania hapo ni doa....nakumbuka shuleni tulikua tunaulizwa maswali kama ..Kipi kati ya zifuatazo ni tofauti na nyingine..Ufaransa, Italy, TANZANIA, Russia, Japan, Ubelgiji na China...nchi yetu haifanani na daraja za nchi hizo mkuu.
mkuu asante kwa sapoti yako. Kuna watu bado wanaamini kuwa itikadi yetu kama taifa ni ujamaa na kujitegemea. Tumeshaambiwa sisi kama taifa wakati wenzetu wanatembea sisi tukimbie. Sasa hawa kina salamanda wanadhani mi marathon.
Huwezi kuukimbia ukweli mkuu kama ilivyo kwa kivuli chako. Taifa hili ni tegemezi, tuzungumze kilichopo tuwache kuzungumza kile tunachofikiria kifanyike. Mara ngapi tumeona interview za wageni kutoka nje zikifanywa na watangazaji mbadala na sio wale waliozoeleka kusikika ama kuonekana....tatizo ni kizungu laiti kama wangelikuwa wanajua vyema ingewaongezea umahiri katika kazi zao...
hata kama hakitumiki mara kwa mara kutokana na wasikilizaji waliopo watangazaji ni faida kubwa kama wakijua vyema kiingereza. sio lazima ukubaliane nami hayo ni mawazo yangu.
Tuachane na huko kwenye ung'eng'e, umesema nchi yetu maskini! Nimekuuliza wazungu ndo walivyokuaminisha hvyo! Uganda wanatumia English lakini kiuchumi mbona sie tuna afadhali. Tafuta hoja nyingine ila sio kutuaminisha bila ung'eng'e hufiki popote pale!
sasa msafirishe huyo mtangazaji wako nje ya nchi halafu mwambie aongee kiswahili....
hizo nchi ulizozitaja kama ukiiweka tanzania hapo ni doa....nakumbuka shuleni tulikua tunaulizwa maswali kama ..Kipi kati ya zifuatazo ni tofauti na nyingine..Ufaransa, Italy, TANZANIA, Russia, Japan, Ubelgiji na China...nchi yetu haifanani na daraja za nchi hizo mkuu.
sasa mambo ya bangi yametokea wapi ndugu yangu..umeshachoka kuwa mstaarabu mkuu..mbona mapema.Hiyo ilikuwa shule ya kijiweni wakati mnavuta bhangi. Lakini hizo nchi hapo juu watu wake hawataki hata kujinza kiingereza.
Halafu hapa nimegundua, msiojua kiingereza ndo mnakiona kila kitu, sasa kwanini msijifunze?
Sijakataa kama wapo mkuu...nawasikia sana huko BBC, VOA..kama hujui kiingereza utafanyaje kazi BBC au VOA?..Sasa unataka kuniambia hakuna watangazaji wa kitanzania nje ya nchi? Wapo wengi tu, tena kwa taarifa yako wapo wanaotumia kiswahili katika utangazaji, mfano BBC, VOA nk. Sasa wewe kaa, na utumwa wako a kiakili unaokutuma kiingereza ndio maendeleo.