Watangazi bora wa mpira wa miguu Radioni/Tv

Chipukizi wa sasa wanakuja vyema hasa Baraka edson mpenja
 
Hawa ndio wanastahili tuzo za umahiri katika kutangaza mpira redioni au kwenye Televisheni
1. Jesse John
2. Baraka Mpenja
3. Urrasa
1. Miguu 12 ya mtu mzima (Ahmed Jongo)
2. Charles Hilary
3. Salim Mbonde

Hawa walikuwa watangazaji kweli . Na hata hawa wa sasa wengi wamewaiga hawa.
 
Enock Bwigane anajua ila usimba mwingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…