Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa bakari mpenja hana mpinzani. Natamani ikicheza simba atangaze, mara anakwambia msikiti umeungua
[/QUOTE
Bakari = Baraka
Kaka labda kama hukuwahi kuwasikiaWatangazaji bora wa muda wote
1. Charles Hillary.
2. Baruan Muhuza
3. Juma mkamia
Kwa sasa Baraka Mpenja
1. Miguu 12 ya mtu mzima (Ahmed Jongo)Hawa ndio wanastahili tuzo za umahiri katika kutangaza mpira redioni au kwenye Televisheni
1. Jesse John
2. Baraka Mpenja
3. Urrasa
Labda hukuwahi msikia Abdul MasoudKaka labda kama hukuwahi kuwasikia
1 Ahmed Jongo
2 Ahmed Kipozi na
Dominic Chilambo
Enock Bwigane anajua ila usimba mwingi!
Wewe Enoch wewe na Yanga yakoEnock Bwigane anajua ila usimba mwingi!
Jana amesema kama angedaka ule mpira wa mohd hussein zimbwe Basi mwili ungetenganaKwa sasa bakari mpenja hana mpinzani. Natamani ikicheza simba atangaze, mara anakwambia msikiti umeungua
Abdul Omar masudi, mshindo mkeyengeWatangazaji bora wa muda wote
1. Charles Hillary.
2. Baruan Muhuza
3. Juma mkamia
Kwa sasa Baraka Mpenja